Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Hiyo ni bima karibu na bure, hata huwezi fidiwa ukipata accidentUnajua maana ya premium kwenye Bima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni bima karibu na bure, hata huwezi fidiwa ukipata accidentUnajua maana ya premium kwenye Bima?
New bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000
Pole sana. Hizi crown ni nyepesi sana. Mm sio fundi ila kwa uzoefu wangu hapo kaa na kama M1 Mpaka M1.5 gari itakaa sawa.
New bumper 400,000
New bonnet 600,000
Wing 200,000
Taa 250,000
Vikorokoro vingine 300,000
Haraka haraka 1,750,000
Hapo issue ambazo ni pasua kichwa naona ni mbili,Taa na hiyo Bumper,labda kama sioni vizuri ,hilo Bumper naona kama limekatika,hapo kuna mawili liungwe ambapo halitarudisha gari kwenye ubora wake au ununue jipya,taa pia lazima ujipange sidhani kama itakuwa chini ya laki 3,Aircleaner box hiyo inapatikana sio issue sana,huko kwingine ukimpata fundi body mzuri atakunyooshea na kukupigia rangi litakaa vizuri tu...Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka crake. Gari ni Toyota crown Athlete.
View attachment 2122685
View attachment 2122686
Aisee!Hiyo ni bima karibu na bure, hata huwezi fidiwa ukipata accident
Kwa misingi ya imani zetu kifo utokea kwa ahadi kitendo cha mimi kumkwepa na kugonga mti ata mm ahadi yangu haikuwa imefika. Tahadhari ya kunusuru uhai wake na wangu ndio imepekea mm kutoka nje ya barabara na kugonga mti, uhamuzi wa kutoka nje ya barabara pasipo kukusudia (kwa ishara) nao ulikuwa hatari kwa maisha ya watumiaji wengine wa barabara
Hii ni probox?Kiongozi bodaboda alinigonga jana usiku taa hiyo used japan bei gani na naweza kuipataje kwa huku iringaView attachment 2123634
Aisee!
Hivi nyie watu mna matatizo gani? Kwahio ukinunua gari ndio unajua kila kitu kuhusu gari? Mnajua dhumuni la kuwekwa jukwaa hili? Hili jukwaa halikuwepo,tumeomba mods muda Sana hadi wakalianzisha ili tusaidiane kwenye changamoto za magari. Wengine hawana muda wa kuhamgaika na magari zaidi ya kuendesha. Kuhusu spare na ufundi wanapata uzoefu Kwa wengine.Wewe umeweza kununua gari, unakuja huku kuuliza bei ya taa?
Ukiishi kwa Upanga utaondoka Kwa Upanga! Unawajua bodaboda wewe? Hawa wanaogonga watoto service road halafu wanakimbia? Hawa wanaogonga magari ya watu hovyo kwenye foleni halafu wanakimbia huku wanakutukana? Hawa wanaongusha abiria halafu wanakimbia? Siwezi kuingia mtaroni au bondeni kisa bodaboda mpumbavu ataingia yeye. Kama yeye hathamini uhai wake why should I? Acheni sugar coating.Naona watu wanawaongelea boda boda oama wanyama hivi na sio binadamu kama wao
Ingawa ni kweli boda boda wengu hawajali usalama barabarani wanafujo sana
Kwahio hapo ndio unaona uko level fulani ya kuita Crown mkokoteni? Kazi ipo.
Du! Bima gani hii mkuu?Nnayo mkuu nimewapigia simu na kuwatumia picha ila walichonieleza itanipasa nisubiri kwa mwezi mmoja mimi mipango yangu mingi inategemea niwe na gari nasafiri mara kwa mara.
Sikuhizi ukiwa una-drive unakuwa na woga na wasiwasi WA kusababishiwa ajali na bodaboda hawa watu ni wasumbufu Sana, madereva wengi WA magari ni wastaarabu kidogo Ila hawa wenzetu ni kama kuku Akili zaoKusema ukweli boada boda ninawachukia....hala akishagonga mtu kwenye zebra, anakimbia anajichanganya kwenye kijiwe cha wenzake...anasikilizia kama kuna noma...
Kama kuna mazingira yasiyo na ushahidi, boda boda ni wakusukumia tu mtaroni
Huyo jamaa ni mjinga Sana hata kule kwenye jukwaa la siasa anaoga matusi mazito Kwa ujinga wakeKwahio hapo ndio unaona uko level fulani ya kuita Crown mkokoteni? Kazi ipo.
Kwa hiyo hayo maisha yao uwalinde wewe na wao hawajilindi?Ni kweli lakini ni muhimu kuheshimu haki ya watu wengine kuishi kuna makusudi ya kusema bodaboda unagonga tu si sawa wale ni binadamu wenzetu wana haki ya kuishi,wana familia zao na maisha yao kwanza sio wote japo wengi wao wapo rough.
Kwa principle wanazoshauri hao basi ukiendesha gari kwa miaka 25. utakuwa umeua bodaboda hata 5-10.Sasa kuna faida gani kuua watu? Mwisho wa siku ni kuishi maisha ya majuto tu.
Wapiga KURA hao hakuna wakuwagusaKuna siku hizi dual carriageway tumesimama mtu avuke, wakati anavuka bodaboda inakuja mbio kutoka wrong side basi mimi naiona jinsi inavyoenda kumgonga mtu tuliemruhusu avuke aisee nilipiga honi yule mtembea kwa miguu akawa ananishangaa huyu ana kichaa nini, basi kule kushangaa kwake sekunde kadhaa ndio ile boda ikapita alinishukuru sana yule mtu ndio akaelewa kwanini nilikuwa napiga honi! Bodaboda ni janga halafu polisi ni kama wamekubali wamewashindwa!