Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

Wewe una roho mbaya na hyo roho mbaya yako imekufanya kuwa mchawi au unaukaribia uchawi. Tafuta pesa acha usheitwan huo kumbe gari unaishia kuziona road tu alaf unakuja ku attack watu hapa jukwaani
Kwani kuziona road ndio sababu ya kunizuia kujadili?
 
Kwani kuziona road ndio sababu ya kunizuia kujadili?
Sasa utasemaje kuna gari za kujadiliwa jukwaani, unajua maintenance ya crown wewe?! Unafikiri hyo gari sawa na gari la kubebea nyanya kluger. Hyo gari inaitaji mfuko mda wote ujae haitaki pesa za mawazo
 
Crown gari ya akina dada kuendea sokoni . Juu ya Kluger jibu unalo
 
Kwa hiyo hayo maisha yao uwalinde wewe na wao hawajilindi?

Ukiona watu wanakuongelea vibaya jua tu unashida mahala na hufai.

Umejumuisha wote ndo tatizo

Na pili kama wewe ni dereva utakubaliana na mimi kwamba madereva wote tunafanya makosa barabarani na mara nyingi ni busara tu za madereva wenzetu ndo zinafanya tuendelee kuishi

Km kila mistake dereva akifanya anatakiwa afe au avunjwe kiuno basi hamna dereva angekuwa hai.

Leo unakosea wewe nakusitiri,kesho nakosea mimi unanisitiri.Kilamtu akileta kiburi na tambo kwamba mimi ndo nipo kwenye sheria na huyu mimi ndo nipo kwenye sheria basi kila siku tutaZika watu.

Busara ni muhimu
 
Ahahaha kwel kabisa, Ila mkuu siku hizi unakula ban sana[emoji16][emoji16]nan anakukorofishaga huyoo
Mods wangese flani! Yani mtu akileta ushamba ukimpa clear mods wananifungia sijui ndio kunikomoa! Mtu unamwambia ukweli mods wanaleta utoto eti “you have been banned for ...acha mambo ya kichocco....” sasa hapo tusi liko wapi?
 
Hujui magari Shetan wewe. Six ile ina offer kila kitu inapokuwa barabaran comfortability, luxury and speed na ata kimuonekano inavutia machoni. Hyo kluger ukiwa speed 120 tu inadundadunda kama kitenesi. Unafikiri kwann inaitwa Benz ya mjapan!!
Acha kutamani benz wakati Suv kama Klugaer linakushinda. Crown gari la kichick sana. Unashobokea kudundadunda🧐
 
Acha kutamani benz wakati Suv kama Klugaer linakushinda. Crown gari la kichick sana. Unashobokea kudundadunda🧐
Wewe shetan hujui magari endelea kuyatazama hvyo hvyo. Kluger ni suv ya kubebea nyanya huko japan. Very poor mind, sasa gari ikizid tu speed 120 inakosa balance hyo ni gari. Kibongo bongo kluger ni gari za wazee wastaaf. Elewa kenge maji wewe
 
Mods wangese flani! Yani mtu akileta ushamba ukimpa clear mods wananifungia sijui ndio kunikomoa! Mtu unamwambia ukweli mods wanaleta utoto eti “you have been banned for ...acha mambo ya kichocco....” sasa hapo tusi liko wapi?
Ahahahah, shida sana. Humu kuna watu ni wabishi na wanakera sana sometimes.. ww ushakuwa star punguza hizo fujoo
 
Kwa maelezo ya wengi humu hizi kampuni za bima zina longolongo kwenye kulipa
Inategemea na kampuni.. Kama ni kampuni ndogo ndogo hizi lazima wazingue..
Mimi nilipeleka document zote zinzohusika kutoka polisi wala hakukua na longolongo.. Wiki tu nikalipwa. Tena na ushirikiano wa kutosha
 
Kampuni gani hio?
 
Wewe shetan hujui magari endelea kuyatazama hvyo hvyo. Kluger ni suv ya kubebea nyanya huko japan. Very poor mind, sasa gari ikizid tu speed 120 inakosa balance hyo ni gari. Kibongo bongo kluger ni gari za wazee wastaaf. Elewa kenge maji wewe
Naona unaharisha uharo tu. Praaaaaatapaaaaa
 
Halafu nyie pumbavu acheni mawazo ya kishenzi eti ukiona bodaboda amekaa vibaya wabutue tu uhai wa mtu haulinganishwi na kitu chochote ,acheni kufanya generalization kuwa bodaboda wote wapo hivyo wengine tuna magari yetu zaidi ya hivyo vidude vyenu vicrown na tunatumia pikipiki kistaarabu hizo gari zenu za mikopo ziaiwape viburi
 
Kampuni ya bima wakikuzingua kulipia claim yako, waambie wakuandikie kwa maandishi barua ya kushindwa kulipa claim yako.

Baada ya hapo tumia pesa yako binafsi kutengeza gari. Baadae tafuta kampuni ya mikopo au mtu binafsi. Muandikishiane mkataba kuwa alikukopa pesa za hayo matengenezo kwa riba. Kisha kaa kimya wacha muda uende hata miezi sita endelea kutumia gari.

Baada ya miezi kadhaa mfano miezi sita nenda kwa wakili akusindikize mahakamani mtengeneze kesi ya kuishitaki kampuni ya bima kushindwa kusettle claim yako na kukutia hasara ya kuingia madeni ya mkopo wa riba kinyume na mkataba.

Supportive documents ni hizo nyaraka nilizokutajia hapo juu. Wapelekee barua ya Summon ya mahakama.

Kaa nyumbani ukila popcorn [emoji897] ukitazama namna huu mtanange utakavyowafanya waje kukupigia magoti mana hela watayokulipa ni zaidi ya bei ya gari yako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna uzi humu ndani niliwahi usoma.

Kuna mtu alisumbuliwa na kampuni ya bima kwa miaka almost 10.

Mahakama ikitoa hukumu, wao wanakata rufaa.
 
Inategemea na kampuni.. Kama ni kampuni ndogo ndogo hizi lazima wazingue..
Mimi nilipeleka document zote zinzohusika kutoka polisi wala hakukua na longolongo.. Wiki tu nikalipwa. Tena na ushirikiano wa kutosha
Kampuni gani?
 
Back
Top Bottom