Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bora janga limemkuta mwenyewe angekuwa mtu mwengine ingekuwa msala maana gari sio yakeKimasihara masihara hapo kama milioni 2 hivi inaweza kufika. Pole mzee, ndio mambo ya road.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora janga limemkuta mwenyewe angekuwa mtu mwengine ingekuwa msala maana gari sio yakeKimasihara masihara hapo kama milioni 2 hivi inaweza kufika. Pole mzee, ndio mambo ya road.
Kwani kuziona road ndio sababu ya kunizuia kujadili?Wewe una roho mbaya na hyo roho mbaya yako imekufanya kuwa mchawi au unaukaribia uchawi. Tafuta pesa acha usheitwan huo kumbe gari unaishia kuziona road tu alaf unakuja ku attack watu hapa jukwaani
Sasa utasemaje kuna gari za kujadiliwa jukwaani, unajua maintenance ya crown wewe?! Unafikiri hyo gari sawa na gari la kubebea nyanya kluger. Hyo gari inaitaji mfuko mda wote ujae haitaki pesa za mawazoKwani kuziona road ndio sababu ya kunizuia kujadili?
Ahahaha kwel kabisa, Ila mkuu siku hizi unakula ban sana[emoji16][emoji16]nan anakukorofishaga huyooUnapomuona muhuni kapaki chombo anakula heineken zake ujue kuwa sio kitoto
Crown gari ya akina dada kuendea sokoni . Juu ya Kluger jibu unaloSasa utasemaje kuna gari za kujadiliwa jukwaani, unajua maintenance ya crown wewe?! Unafikiri hyo gari sawa na gari la kubebea nyanya kluger. Hyo gari inaitaji mfuko mda wote ujae haitaki pesa za mawazo
Hujui magari Shetan wewe. Six ile ina offer kila kitu inapokuwa barabaran comfortability, luxury and speed na ata kimuonekano inavutia machoni. Hyo kluger ukiwa speed 120 tu inadundadunda kama kitenesi. Unafikiri kwann inaitwa Benz ya mjapan!!Crown gari ya akina dada kuendea sokoni . Juu ya Kluger jibu unalo
Kwa hiyo hayo maisha yao uwalinde wewe na wao hawajilindi?
Ukiona watu wanakuongelea vibaya jua tu unashida mahala na hufai.
Mods wangese flani! Yani mtu akileta ushamba ukimpa clear mods wananifungia sijui ndio kunikomoa! Mtu unamwambia ukweli mods wanaleta utoto eti “you have been banned for ...acha mambo ya kichocco....” sasa hapo tusi liko wapi?Ahahaha kwel kabisa, Ila mkuu siku hizi unakula ban sana[emoji16][emoji16]nan anakukorofishaga huyoo
Acha kutamani benz wakati Suv kama Klugaer linakushinda. Crown gari la kichick sana. Unashobokea kudundadunda🧐Hujui magari Shetan wewe. Six ile ina offer kila kitu inapokuwa barabaran comfortability, luxury and speed na ata kimuonekano inavutia machoni. Hyo kluger ukiwa speed 120 tu inadundadunda kama kitenesi. Unafikiri kwann inaitwa Benz ya mjapan!!
Wewe shetan hujui magari endelea kuyatazama hvyo hvyo. Kluger ni suv ya kubebea nyanya huko japan. Very poor mind, sasa gari ikizid tu speed 120 inakosa balance hyo ni gari. Kibongo bongo kluger ni gari za wazee wastaaf. Elewa kenge maji weweAcha kutamani benz wakati Suv kama Klugaer linakushinda. Crown gari la kichick sana. Unashobokea kudundadunda🧐
Ahahahah, shida sana. Humu kuna watu ni wabishi na wanakera sana sometimes.. ww ushakuwa star punguza hizo fujooMods wangese flani! Yani mtu akileta ushamba ukimpa clear mods wananifungia sijui ndio kunikomoa! Mtu unamwambia ukweli mods wanaleta utoto eti “you have been banned for ...acha mambo ya kichocco....” sasa hapo tusi liko wapi?
Ahahahah, shida sana. Humu kuna watu ni wabishi na wanakera sana sometimes.. ww ushakuwa star punguza hizo fujoo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Apigwe TuuKila nikisema nitulie anatokea tu mtu anamsifia Makamba kwa uchapakazi[emoji28]
Inategemea na kampuni.. Kama ni kampuni ndogo ndogo hizi lazima wazingue..Kwa maelezo ya wengi humu hizi kampuni za bima zina longolongo kwenye kulipa
Msala sio kitoto.Bora janga limemkuta mwenyewe angekuwa mtu mwengine ingekuwa msala maana gari sio yake
Kampuni gani hio?Inategemea na kampuni.. Kama ni kampuni ndogo ndogo hizi lazima wazingue..
Mimi nilipeleka document zote zinzohusika kutoka polisi wala hakukua na longolongo.. Wiki tu nikalipwa. Tena na ushirikiano wa kutosha
Naona unaharisha uharo tu. PraaaaaatapaaaaaWewe shetan hujui magari endelea kuyatazama hvyo hvyo. Kluger ni suv ya kubebea nyanya huko japan. Very poor mind, sasa gari ikizid tu speed 120 inakosa balance hyo ni gari. Kibongo bongo kluger ni gari za wazee wastaaf. Elewa kenge maji wewe
Kuna uzi humu ndani niliwahi usoma.Kampuni ya bima wakikuzingua kulipia claim yako, waambie wakuandikie kwa maandishi barua ya kushindwa kulipa claim yako.
Baada ya hapo tumia pesa yako binafsi kutengeza gari. Baadae tafuta kampuni ya mikopo au mtu binafsi. Muandikishiane mkataba kuwa alikukopa pesa za hayo matengenezo kwa riba. Kisha kaa kimya wacha muda uende hata miezi sita endelea kutumia gari.
Baada ya miezi kadhaa mfano miezi sita nenda kwa wakili akusindikize mahakamani mtengeneze kesi ya kuishitaki kampuni ya bima kushindwa kusettle claim yako na kukutia hasara ya kuingia madeni ya mkopo wa riba kinyume na mkataba.
Supportive documents ni hizo nyaraka nilizokutajia hapo juu. Wapelekee barua ya Summon ya mahakama.
Kaa nyumbani ukila popcorn [emoji897] ukitazama namna huu mtanange utakavyowafanya waje kukupigia magoti mana hela watayokulipa ni zaidi ya bei ya gari yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kampuni gani?Inategemea na kampuni.. Kama ni kampuni ndogo ndogo hizi lazima wazingue..
Mimi nilipeleka document zote zinzohusika kutoka polisi wala hakukua na longolongo.. Wiki tu nikalipwa. Tena na ushirikiano wa kutosha