Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Mteja ALINIGIZA hii blanket alitaka nimfanyie delivery,nikaenda kariakoo kununua nikaanza safari kumpelekea,nafika nichukue cm nimpgie nimwambie nimefika ananiambia basi mume wangu atanunua mliman city,na KANIBLOCK juu

Sasa jamani nauza naomba kuludsha hela niliyonunulia tu,nauza 40,000

Hili ni blanket soft/laini kwaajili ya kujifunika.

Namba zangu hizi nipo dar mbezi ya kimara

0754088347View attachment 2983192
mmmm ngumu kumesa, nisawa na kununua mswaki used ama chupi iliyotumika
 
"Nobody comes for bussiness in jamii forum " naomba huu usemi uendelezwe.
Kalipost Facebook muda huu. Utapata mteja. Huku labda kama unataka tu post engagement ujibu comment za watu basi
 
Upo serious?
changamoto imetokea, kwa kuwa ni mzazi, hilo blanket funikia mtoto wako.
IMG_20240412_185513.jpg

mambo yasiwe mengi
 
Dahh! Ingekuwa zile Enzi zangu ningemtumia nauli aniletee hilo blanget hapo mbezi tu
 
Back
Top Bottom