Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Umenikumbusha mbali mno ishu za hv. Jifunze mteja kulipia nusu kabla ya mzigo kumfikia. Inasaidia mno.pole


KAZI ni kipimo cha UTU
 
"Nobody comes for bussiness in jamii forum " naomba huu usemi uendelezwe.
Kalipost Facebook muda huu. Utapata mteja. Huku labda kama unataka tu post engagement ujibu comment za watu basi
Mkuu hii jamii forum kuna watu hovyo sana..
Unalosema wala sio uwongo mkuu
Hata mtu akija na shida ukajaribu kumfata umsaidie bado atakua muhuni muhuni tu.
 
Mteja ALINIGIZA hii blanket alitaka nimfanyie delivery,nikaenda kariakoo kununua nikaanza safari kumpelekea,nafika nichukue cm nimpgie nimwambie nimefika ananiambia basi mume wangu atanunua mliman city,na KANIBLOCK juu

Sasa jamani nauza naomba kuludsha hela niliyonunulia tu,nauza 40,000

Hili ni blanket soft/laini kwaajili ya kujifunika.

Namba zangu hizi nipo dar mbezi ya kimara

0754088347View attachment 2983192
weka namba za huyo mteja aliekublock hapa nikurudishie nusu hasara ....... alafu unaposema utalala njaa kwani unategemea hela ya blanketi faida ndio ule au????

kama ni hivyo tafuta kitu kingine ufanye unakoelekea utajiuza
 
dar blanket mnatumia wakati gani? miaka yangu yote 30 plus sijawahi tumia blanket dar na sidhani kama itatokea. nyie mnatumia wapi?
mimi nipo kigamboni kuna muda unalazimika kutumia blanketi maana nimepanda miti mingi nje na jirani zangu nao wana miti kiufupi kuna msimu unalazimika kufukia blanketi lilipo....
 
Back
Top Bottom