Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Kamwe usiwaamini wateja wa online narudia , usiwaamini wateja wa online hasa ambaye humjui na haujawahi kufanya NAE biashara. Usinipe uhakika kuwa umepata mteja
 
weka namba za huyo mteja aliekublock hapa nikurudishie nusu hasara ....... alafu unaposema utalala njaa kwani unategemea hela ya blanketi faida ndio ule au????

kama ni hivyo tafuta kitu kingine ufanye unakoelekea utajiuza
Sawa mkuuuu
 
Me siyo mshangazi 😁😁😂😂
Nimeelewa sis an mi sina baya na wewe...
Nasapot sana hatakati zako..
Nipo nakutafutia hapa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ila na mimi nizingatie sasa mana huwenda ukawa una wajua aiseee 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Dar pia Kuna maeneo huwa Kuna baridi mfano kibamba
kibamba ipi ina baridi ?????????????? jamani acheni masikhara nyie Dar kuna baridi?????????????? Urusi, Uk, Mbeya, Rukwa, Iringa wasemeje??????????????????????? Mimi nimezaliwa na kukulia Dar hakuna baridi hata siku moja. hapa nina miaka zaidi ya 5 sijawahi oga maji ya moto nikiwa Dar
 
Nimeelewa sis an mi sina baya na wewe...
Nasapot sana hatakati zako..
Nipo nakutafutia hapa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ila na mimi nizingatie sasa mana huwenda ukawa una wajua aiseee 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwanza umenicheka nguvu ya kukutafutia natoa wapi 😔😔😂😂
kibamba ipi ina baridi ?????????????? jamani acheni masikhara nyie Dar kuna baridi?????????????? Urusi, Uk, Mbeya, Rukwa, Iringa wasemeje??????????????????????? Mimi nimezaliwa na kukulia Dar hakuna baridi hata siku moja. hapa nina miaka zaidi ya 5 sijawahi oga maji ya moto nikiwa Dar
Huenda tumetofautiana Hadi ASUBUH ya Leo nimeoga maji ya moto
 
Back
Top Bottom