Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Pole Sana u winga unachangamoto, ila umesha post status, FB na insta?
Naamini litatoka Leo Leo, kutokana na Hali ya hewa ilivyo.
 
Njoo pm tuwasiliane tuonane,,nikupe hiyo 50000 na blanket Baki nalo au tuwasiliane tuonane nikupe 23000 na blanket nachukua haijalishi uko Wapi,,###KuonanaLazima###
 
Njoo pm tuwasiliane tuonane,,nikupe hiyo 50000 na blanket Baki nalo au tuwasiliane tuonane nikupe 23000 na blanket nachukua haijalishi uko Wapi,,###KuonanaLazima###
SI nampa boda anakuletea jaman akifika anakupa blanket unampa hela
 
Duuh umechelewa kdg, kuna mtu anaenda mikoa ya baridi, angechukua aende nalo. Polee dear.
 
Hiyo namba ni yako au ya ofisi?
Sifa office jaman huwa nauza online tu,

ukiniagiza kitu nikuletee ukikikataa kama hivi nakua Sina pa peleka kwasababu Sina duka,hadi nipate mteja atakaye hitaji tena kitu kama hicho miezi inaweza kupita,

Sasa nakua nimetumia hela ambayo nilijua nitailudisha muda huohuo, basi ndo hivyo hela hiyohyo ya kula 😔😔
 
Back
Top Bottom