To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂😂 aisee🙌changamoto imetokea, kwa kuwa ni mzazi, hilo blanket funikia mtoto wako.View attachment 2983225
mambo yasiwe mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 aisee🙌changamoto imetokea, kwa kuwa ni mzazi, hilo blanket funikia mtoto wako.View attachment 2983225
mambo yasiwe mengi
uko k/koo uliponunulia hukulilipia nini?Daah
njombe ya wap wajameni nikuje nkusalmie tu😌😌Ni kilo gram ngap hilo?Niko njombe sio poa!🥰
🤣😁😁😁Kumtangaza unaempenda ni dhambi sanaNinunulie kipenz uje unitangaze….maana nimemiss mambo haya🙄
uku hawezi kupata mteja bibie, kuliko kuendelea kumpa matumaini hewa ni bora akamtumia zawadi bibi yake aliye kijijini, atabarikiwa sana😂😂😂😂 aisee🙌
Inasikitisha sana🙌🤣😁😁😁Kumtangaza unaempenda ni dhambi sana
Aisee…sawa mkuuuku hawezi kupata mteja bibie, kuliko kuendelea kumpa matumaini hewa ni bora akamtumia zawadi bibi yake aliye kijijini, atabarikiwa sana
Naunga mkono hoja 🤣😁Inasikitisha sana🙌
Sawauku hawezi kupata mteja bibie, kuliko kuendelea kumpa matumaini hewa ni bora akamtumia zawadi bibi yake aliye kijijini, atabarikiwa sana
Sawa mamiiPole Sana u winga unachangamoto, ila umesha post status, FB na insta?
Naamini litatoka Leo Leo, kutokana na Hali ya hewa ilivyo.
SI nampa boda anakuletea jaman akifika anakupa blanket unampa helaNjoo pm tuwasiliane tuonane,,nikupe hiyo 50000 na blanket Baki nalo au tuwasiliane tuonane nikupe 23000 na blanket nachukua haijalishi uko Wapi,,###KuonanaLazima###
Keshaondoka jaman daahDuuh umechelewa kdg, kuna mtu anaenda mikoa ya baridi, angechukua aende nalo. Polee dear.
Sifa office jaman huwa nauza online tu,Hiyo namba ni yako au ya ofisi?