Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Pole sana tajiri, uwinga kuna muda ni shida sana bora hata ulitoa hela yako mfukoni ingekuwa ndio umeazima mahali ingekuwa shida kubwa zaidi.
 
Mteja ALINIGIZA hii blanket alitaka nimfanyie delivery,nikaenda kariakoo kununua nikaanza safari kumpelekea,nafika nichukue cm nimpgie nimwambie nimefika ananiambia basi mume wangu atanunua mliman city,na KANIBLOCK juu

Sasa jamani nauza naomba kuludsha hela niliyonunulia tu,nauza 40,000

Hili ni blanket soft/laini kwaajili ya kujifunika.

Namba zangu hizi nipo dar mbezi ya kimara

0754088347View attachment 2983192
Wewe ni dalali kumbe, nilijua mnakuaganna stoo zenu
 
Sisi humu ukanda wa baridi linatufaa sana , sema sasa imekuwa ghafla ❗
 
kibamba ipi ina baridi ?????????????? jamani acheni masikhara nyie Dar kuna baridi?????????????? Urusi, Uk, Mbeya, Rukwa, Iringa wasemeje??????????????????????? Mimi nimezaliwa na kukulia Dar hakuna baridi hata siku moja. hapa nina miaka zaidi ya 5 sijawahi oga maji ya moto nikiwa Dar
Kila mtu na mwili wake. Mimi nina blanket ambazo sio nzito sana kuna wakati nazitumia hapa hapa dar. Hata kipindi cha joto lazima nijifunike shuka.

Nikienda sehemu kama arusha hua navaa koti kama kuna barafu. Siku nikienda ulaya nitabeba na heater shingoni
 
Back
Top Bottom