makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Haiwezekani.. milioni 20 haijengi appartment ya vyumba vi4 self.. hapo huna kiwanja.. na hata ukiwa na kiwanja bado jiyo haijengi na kumaliza.Appartments ndogo tu.
Yani inakuwa na vyumba vi4 vyote self na jiko la wote na fensi kwa nje.
Yani isizidi 20M. Halafu
Kila chumba napangisha laki na nusu.
Itawezekana?
Maana 20M ×4 ni 80M
Ambayo naipata kwa 9 months
Amref wanalipa 7M kwa wazawaNinachopinga ni hiki : Kwa mkoa WA kigoma watu pekee wanaolipwa pesa kubwa kama ya mtoa uzi ni wazungu kutoka UN waliopo kambi ya wakimbizi nje ya hapo hakuna NGO inayotoa malipo zaidi ya million tano Kwa wazawa
So kwa nyumba ya design hiyo, haina sebule wala mbwembwe zingine.Haiwezekani.. milioni 20 haijengi appartment ya vyumba vi4 self.. hapo huna kiwanja.. na hata ukiwa na kiwanja bado jiyo haijengi na kumaliza.
Tuunganishe mkuu,me utakuwa unakula 2m kutoka kwanguNaombeni ushauri jamani,
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Mkuu,Akisogea mitaa ya ujiji hawezi kuwakosa, wamejazana sana pale.
Correction: mwaka juzi,huo uzi ni wa mwaka jana.View attachment 2656513
Dogo kamaliza shule mwaka jana kumbe… anaota ndoto tu hizo 10m.
Niutume kwa namba ipi? Jina litaleta nani?Mshahara wa kwanza uulete hapa, ili tukuombee
Correction: mwaka juzi,huo uzi ni wa mwaka jana.
Uzuri kwenye talent scouts ya hii organization hakukuwa na wabongo ambao wamekariri kuangalia vyeti. Hawa wameangalia talent.
By the way jf isingekuwa na maswala privacy ningeeleza mbinu nilizotumia kujisell kuipata hiyo kazi.
Nimekutana interview na wababa wenye experience za miaka 100 ila nimewazidi kwasababu nimedemonstrate skills zangu.
Nakupa hii.
Efficiency,consistency,simplicity.
That's the key.
NB: hongera tumejua una iphone
Mkuu hii kazi huiwezi. Milion 10 ni nyingi sana kwako utashindwa kuitumia utabaki kulalamika mwishowe nitaonekana mbaya.Tuunganishe mkuu,me utakuwa unakula 2m kutoka kwangu
Mkuu hiv unaweza pata 2M kwa 10M per year kupitia UTT?Acha zako wewe ,,Huwa mnaipamba sana UTT ,Maskini kuweka pesa UTT ni ulofa. Nichukue 10m halafu niweke huko halafu mwisho wa mwaka nipatie faida 2m ni utoto ...
Wekeza kwenye biashara ya mzunguko ,wekeza wenye long-term projects ie kilimo ukishindwa Jenga ...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Amekadiria tu au ndo kwa usahihi kwamba unaweza pata 2M kwa 10M kupitia UTT?Yes hapa ndipo nataka hoja. Namsubiri aje kujibu.
ila nachojua kifupi hiyo 2m ni uhakikaz huku kwingine 'kwenye mzunguko' kuna risks nyingi kuasi kwamba unaweza kuipoteza hata hiyo million 10
nahisi ukiwa na wa imani utapata wa fedha.. so aanze na wa imaniUtajiri wa imani au utajiri wa fedha?
Huwa sina muda wa kuandika mengi, lakini kwaufupi ushauri kwa vijana.Ohoo sawasawa ila experience za miaka 100 is it possible?
Pia ni vema ukawapa mbinu wengine wanaotafuta na wenye ndoto kama zako waoneshe ABC umefikaje
Utakua umewasaidia san
Nakaziamkiandikaga upuuzi km huu mnapata malipo yoyote? Mtu mzima mwenye akili zako utaandikaje utumbo km huu, hizi ni dharau dogo uwe na adabu