Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Yes hapa ndipo nataka hoja. Namsubiri aje kujibu.
ila nachojua kifupi hiyo 2m ni uhakikaz huku kwingine 'kwenye mzunguko' kuna risks nyingi kuasi kwamba unaweza kuipoteza hata hiyo million 10
Mtu anayeanza maisha hawezi kwenda kuweka Hela UTT ,Yaani hujaonja hata hustle Moja unaenda kuweka pesa bank labda km umezaliwa familia za mboga nne.

Wakati naanza kazi Kuna wenzangu hawakutaka kutoa jasho wakiamini wataanza mapambano baadae wanajutia sasa. Unapoanza kazi dili na mambo matatu tu uchague lipi uanze nalo
1.ujenzi
2.Biashara
3.Kilimo na ufugaji.

Ukipeleka Hela UTT Utakuwa Maskini tu Pesa inatunziwa kwenye Assets aka Vitega uchumi. Ajira ikibuma utarudi kukaa kwako ukiwa na Amani .
 
Naona una I'd mbili, hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…