Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

A coping mechanism for the masses.

Nioneshe kosa liko wapi.

Weka parts of speech, grammar, spelling, hiki hakitakiwi kuwa hivi, hiki hakitakiwi kuwa hapa, kwa sababu hii.

Tuone utanifundisha mimi au mimi ndiye nitakufundisha wewe.
sio kazi yangu, sikukuambia u comment broken english!
 
sio kazi yangu, sikukuambia u comment broken english!
Hujaionesha hiyo broken english.

Unalazimisha tu.

Hiyo english imepimwa kwa energy level ya Large Hadron Collider, Google that.

Ni wewe usiyejua kusoma sijui una dyslexia au Maimuna tu, halafu unanisingizia mimi.

Yani ushuzi unajamba wewe, lawama unanipa mimi.

Wewe ndiye usiyejua Kiingereza, halafu lawama unanipa mimi.
 
Na kwa uzushi huu wa kumtaja Yesu kimkakati hapa, wakati tunaona maneno yao hapa hayafanani na mafunzo ya Yesu bado watahangaika sana.

Inaonekana watu wanaenda kanisani kudanga sasa.

Wamemaliza bar, saluni, club, mitandao, kwa waganga wa kienyeji, sasa kivumbi kanisani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
bwana we tulia na english yako ya manzese,
ila i thank you though! unachangamsha uzi unazidi kukaa namba 1 kwa comment zako!
 
watu wameolewa na miaka 38, 48, 53, 60, 70 itakuwa 30?
 
Ili kama tangazo
 
Suala la kuolewa Tanzania liko overrated [emoji1783]
Ndiyo na mimi nashangaa bidada anaanzisha uzi baada ya uzi kwenye maada hii, kama yupo obsessed vile.

Yani kuolewa kunakuwa kama Nobel prize.

I am like, what's going on here?

Tuna tatizo hili au tunajitengenezea anxiety tu?

Lakini, dada mkubwa ujue mwanamke mmoja anaweza kuwa amesimama vizuri, ana kazi/ biashara nzuri, amesoma vizuri, ana family support structure nzuri, watu wa familia yake wamesoma vizuri, wamesafiri sehemu mbalimbali duniani na kuona watu tofauti wanavyoishi, hawana pressure za kibongo za kutaka mtu aolewe.

Kwa mwanamke kama huyo, anaweza kusema suala la kuolewa Tanzania liko overrated, na akawa sahihi.

Sasa, hapo hapo umkute mwenzangunamie Maimuna pangu pakavu tia mchuzi, hana elimu, hana family support, tena inawezekana yeye ndiye anaangaliwa na family kutoa support, hana kazi/biashara, hana ujanja wowote zaidi ya kudanga.

Huyo ukimwambia suala la kuolewa Tanzania liko overrated atakuona wewe mchawi, mnaweza kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…