Nimepata mgeni yuko rafu sana

Nimepata mgeni yuko rafu sana

Tumia ujanja huu:
1. Wakati anakula embe wewe ita mtoto wako kwa sauti kwa kusema ''wewe fulani, umekaa unacheza tu! Mletee mgeni kitu cha kuwekea mabaki ya embe ili akimaliza apate urahisi wa kwenda kumwaga''!
2. Hili japo siyo issue sana, lakini unaweza kutumia tena watoto. Unamwita mtoto (wakati mgeni yupo) unamwambia ''angalia umeanza tena kuminya dawa ya mswaki ndivyo sivyo. Nilikufundishaje? Si nilikuwa uanze kuminya chini kwenda juu?''
3. Hilo nalo ukiona ameshika jagi unapaza sauti. ''Jamani mbona hamjasogezea mgeni glass mnamwacha anateseka kunywa maji na jagi kama yuko kambi ya fisi?''
Yes, atleast wew umeonesha wazi mgeni wetu anaweza kufundisha ustaarabu na akastaarabika.
 
Hivyo mara nyingi ni malezi tu..!!
Umemaliza vizur..
Sasa ndio hivyo usitumie orientation yako ya malez ku dedine standard za watu wengine na kuanza kuwaona watu sio kama mleta mada hapo.

Learn from people help them adjust.
Na sifa kubwa ya mtu mwenye akili timamu ni switch aendane na mazingira.
Si kwakua wewe hushik mkaa kwa mikono bas uende kwenye utamaduni wa wengine uanze kuleta style hizo, hapo lazima uonekane mzinguaji na much know
 
Maelezo marefu sana.
In short umechagua kukaza fuvu mkuu.
Ishu sio madhara ishu ni ustaarabu na adabu.
Nadhani wewe ndio umeamua kukaza fuvu mkuu. Kwa issue ya ustaarabu na adabu, kama ungekuwa unazungumzia kuwafundisha watoto au watu ambayo ni sehemu ya maisha Yako hapo nyumbani, Wala nisingepingana na wewe.

Ninachozungumzia Mimi, huyo ni mgeni. Pengine huo ustaarabu ulionao wewe, yeye hana. Ni mtu wa kupita tu hapo kwako, kuna ugumu Gani kumvumilia kwa jambo dogo kama ilo? Maana Iko wazi huwezi kumwambia.
 
Umemaliza vizur..
Sasa ndio hivyo usitumie orientation yako ya malez ku dedine standard za watu wengine na kuanza kuwaona watu sio kama mleta mada hapo.

Learn from people help them adjust.
Na sifa kubwa ya mtu mwenye akili timamu ni switch aendane na mazingira.
Si kwakua wewe hushik mkaa kwa mikono bas uende kwenye utamaduni wa wengine uanze kuleta style hizo, hapo lazima uonekane mzinguaji na much know
Hii hoja ni dhaifu kwa lalamiko namba 1 & 3 la mtoa mada.
 
Mpaka hapo una chaguzi 2 tu.

Mfukuze au mwelimishe

Tatizo lipo kwako umezoea kulalamika badala ya kufanya maamuzi
Exactly..halaf anapenda kulalamikia pembeni kitu ambacho inakua kama unafiki. Be straight..mpe utu ukwel. Hapo si kwako. Mtu aishi kwa taratibu zako unazotaka..atazijuaje?? Mpe maelezo.
Baba mwenye nyumba unakua kama kijino pembe kulalamika lalamikia pemben kama sio mwanaume kamili bwama??!!
 
Ninachozungumzia Mimi, huyo ni mgeni. Pengine huo ustaarabu ulionao wewe, yeye hana. Ni mtu wa kupita tu hapo kwako, kuna ugumu Gani kumvumilia kwa jambo dogo kama ilo? Maana Iko wazi huwezi kumwambia.
Uko sahihi.. tatizo wazaz hawa vujana bado wengi wana element za utoto
 
Table manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.

Chukueni hiyo.
Mimi dizain ni wale ikitokea bahati mbaya (nasema bahati mbaya maana siyo rahisi unikute nimekuwa mgeni wa mtu nyumbani kwake) huwa naaga nikianza kuona mazingira yoyote ya kuambiwa “karibu tule”,hata vinywaji huwa sipendi kwanini niwe mgeni kisha nimtie mtu hasara?

Sisi binadamu tuna madhaifu yetu wengine hawajayazoea ukiweza jitenge nao tu.
 
Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na samli mtilie kifuuni mkaribishe mgeni ....siku ya pili ugali na dagaa mchelee.....siku ya Tano mpe jembe akalime akikataa mrudishe kwao
 
Hii hoja ni dhaifu kwa lalamiko namba 1 & 3 la mtoa mada.
Iko very relevant.
Unashindwa nini kumpa mtu live kwamba hapa sio dumple pa kutupa tupa hovyo taka.

Unashindwa nini kumwambia mtu kwa uwaz kwamba utaratibu wa kunywa maji mzee hauko hivyo si unaona tuko wengi.

Ujue wanachokosa watu wengi ni exposure ya kuishi low key.low life..bush kule vijijin ambako maisha ninreally rough.
Exposure walizo nazo wengi ni classic ambapo hawapat that experience of how rough people use to live..ndio maana mnapata tabu.

Yan hayo yooote anayolia lia mleta maada kwa mtu well experienced ni mambo madogo sana ambayo unaweza mfundisha mtu tena kwa upendo kabisa wala huumii popote
 
Umemaliza vizur..
Sasa ndio hivyo usitumie orientation yako ya malez ku dedine standard za watu wengine na kuanza kuwaona watu sio kama mleta mada hapo.

Learn from people help them adjust.
Na sifa kubwa ya mtu mwenye akili timamu ni switch aendane na mazingira.
Si kwakua wewe hushik mkaa kwa mikono bas uende kwenye utamaduni wa wengine uanze kuleta style hizo, hapo lazima uonekane mzinguaji na much know
Nimejaribu kuipata maana yako nimeikosa kabisa..!!
Mchana Mwema Ivan..!
 
Sasa, kuwa moja ya hao watu(jamii), mfundishe ustaarabu mbalimbali apate kubadirika. Niamini huyo anaweza badirika. Au ni ndugu upande wa mume basi unakosa confidence ya kumuelekeza mambo.
Muambie mtoa mada amuelekeze mgeni wake, mie wangu huwa nawaelekeza vyema kabisa,
 
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.

2. Dawa ya meno anaminya popote tu.

3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.

4. Inshort things are mess
Ndugu lawama

Wanazingua sana
 
Ndiyo maana mm siwezi kwenda kwa watu nikiwa na shida najipanga kabisa.
 
Back
Top Bottom