Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

Wakuu habari.

Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri

Nawasilisha
Nunua tour coaster kwa 20 milion tu, unamvua mtu. kisha nistue nikusimamie pesa inarudi bila presha ndani ya miezi 18 tu.
 
Baby nina uzoefu mbaya na viumbe kama ninyi.
Pesa ikiingiamo haitoki.

Badala yake unaweza kuishia kupewa bidhaa isiyo ya kibiashara[emoji23][emoji23]
Mbona unaniharibia sasa [emoji849][emoji849]hupendi huyo mwekezaji awekeze kwangu???
 
Back
Top Bottom