Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Kwa location iyo nenda tu pia utapata fulsa mpya y bznes kiongozi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hapana ukiwa mbali naye inaleta appetite. Anachokitaka kwako ni faraja. Ndan ya mwez mmoja hiyo hamu ya faraja inaisha, endpo utakubali kukaa naye karibu.
 
Ni kweli mkuu yeye kapanga, kwo nikienda kwake kitu nitakachokua namzidi tu ni kumiliki gari mkweche
 
Miaka 39 sio mshangazi uyo ni binti mshangazi ananzia 45+
Kigezo kimoja cha mshangazi ni awe na mtoto wa miaka 25+

Tuache kuzalilishana bana mtu wa 1885+ akawa mshangazi na akuna kijana wa miaka iyo ukamuita mzee
 
Mkuu mind you kwamba mimi siendi kulelewa Nina mtaji wangu ntahama nao isipokuwa pale napenda ni yeye ndo kapangisha, vitu vya ndani vyote ni vyake
 

Wewe una 35 yeye 39
Difference ya miaka 4 huwezi kum-term kama mshangazi
 
we nae umevurugwa kweli mshangazi ni umri wetu ndo tunafaa kuwaita age hiyo mshangazi sasa wewe si mnalingana tuu mtu na mdg wake
39 kwa 35 ni gap kubwa sana Ebu mchukulie kusaga na Samia tofauti yao ni miaka 6 Samia kazaliwa 1960 Ila kusaga 1966 kwanini mzee kusaga asimuite Samia shangazi
 
Anamuita dada sio shangazi we vip
39 kwa 35 ni gap kubwa sana Ebu mchukulie kusaga na Samia tofauti yao ni miaka 6 Samia kazaliwa 1960 Ila kusaga 1966 kwanini mzee kusaga asimuite Samia shangazi
i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…