Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Kwani wewe una umri gani? Hadi uniite babu, babu ni kuanzia miaka 65 maana ndo ukomo wa mwisho wa kufanya kazi serikalini kwa Tanzania hapa nazungumzia jaji mkuu na profesa
35 age go wewe umebakiza 5 uwe ajuza
 
Ue imeanza au bado??
 
Huyo bado yuko stend.. Unaweza kushangaa anarudiana na mzazi mwenzake..

Mshangazi ni 45 kuendelea huko..
Sasa wakirudiana mimi Nina hasara gani? Maana sio kwamba mimi nataka kumuoa mimi nipo after fursa zaidi🤣mbususu and other financial opportunities
 
Mkuu kwa mujibu wa andiko lako inaonekana ni kama UMEKWEMA hivi kimaisha na unataka kwenda kwa huyo mwanamke ili kujinusuru

Mapenzi bila hela utakua mtumwa mkuu
35yrs sio mbaya sana, achana naye kama analazimisha sana uishi naye ili akufadhili.
Pigana kwanza ukae sawa hayo mambo yatakuja bila hiyo pressure unayopewa na huyo bi dada

Pata picha umeuza biashara yako halafu unakwenda kwake na 2.5m mkononi kuanza maisha moja...... kama biashara ya kwanza ili feli vipi na hii ikifeli halafu upo kwa mwanamke?
Wanawake walio wengi si wavumilivu kabisa kuishi na mwanaume anaye hangaika kujitafuta...... labda huyu wako awe na moyo wa kipekee sana
 
Biashara yangu imenisumbua takribani miezi 9,sasa kwenye tafakuri yangu nimeona bora nihame mkoa ni anze moja, kwa mtaji huo wa 2.5M yeye mwenzangu kusuggest fursa zipo Za nafaka huko manyara ndio nataka nijaribu
 
Kuwa makini
Isije ikawa wewe ndio fursa yenyewe
 
Fursa kivipi mkuu, hatuwezi share business
Namaanisha kwamba isije ikawa mwenzako anaona hiyo 2.5 ni fursa kwake

Unafika huko anakupanga na wajuaji wanapita na mtaji wako wa ngama

Be careful
 
Namaanisha kwamba isije ikawa mwenzako anaona hiyo 2.5 ni fursa kwake

Unafika huko anakupanga na wajuaji wanapita na mtaji wako wa ngama

Be careful
Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…