Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

Marehem alikua analalamika tumbo
Umri wake n miaka 2 na miez 8
Alifika hospital kubwa ya mkoa WA morogoro mjini.
Alifia mapokez na alipo fika hakuchukua ata do 10 akafarik pale mapokez ata wodin hakwenda.
Na msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Kwann mifanye masihara Kwenye mambo ya MSiba mkuu,kumbuka uyu n mwanangu amefariki Alie kalibu au maeneo ya morogoro mjini aje kuwakilisha,na nimepata nguvu ya kuandika apa mda huo ulio sema sababu umu nyinyi nawachukulia kama ndugu na jamaa
 
Kwahiyo post zote zile za chai lengo lilikuwa ufike huku? Watu sio wajinga!
 
Asante sana kwa ufafanuzi.. Nitarejea
 
Pole ndugu yetu,kumbuka sie wote tu mazao ya Mwenyezi atatuvuna muda wowote ule anaona unafaa kwake.
Kila kitu kinatokea kulingana na asili ilivyo yaani hakuna kinachotokea bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…