Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

poleni Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja kuu itokayo kwake katika kipindi hiki kigumu.
 
So saaaddd 😭😭😭
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mwanao mahala pema peponi, Amina!
 
Aaaah, niliposoma tu kichwa cha habari tumbo la kuhara likanipata, wakuu kufiwa na mtoto kunauma vile sijaona yani nilihisi kama moyo unakatwa katwa na viwembe pumzi siipati, pole sana sana mkuu maumivu unayopitia ni makubwa Mungu wa mbinguni akujazi😪😪😪😪
 
Sa msiba wako iyo nguvu yakuandika umeitoa wap

Ukijibiwa vbya huone watu hawana huruma au wanadharau kumbe ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…