Nenda ukasome The Safe Third Country Agreement (STCA) kati ya US na Canada, ndiyo utaelewa kwanini asylum seekers walikua wakitumia hiyo njia hatari ya kupita hiyo an official.
Huo mkataba unasema asylum seeker hawezi kuingia kupita katika moja ya nchi hizo na kuingia nyingine kuomba asylum. Yaani kama unatoka Mexico au Tanzania halafu ukapita port of entry ya US and Canada na kwenda kuomba asylum Canada, mkataba huo unataka Canada ikurudishe US au ukiingia Canada then uende US basi unatakiwa kurudishwa Canada.
Mkataba huu unaagiza watu kurudishwa mtu atakayeingia nchi hizi kutoka moja ya nchi hizi kupitia port of entry basi arudishwe upande alioungilia, sababu kwa Canada, US ni 'Safe Country' na kwa US, Canada ni 'Safe Country'. Ndipo watu wakaja na idea ya kuanza kutumia Roxam border sababu ile siyo official port of entry hivyo wakiingilia pale hawapaswi kurudishwa wala kuzuiwa. Hii ndiyo ilikua inapelekea watu kuingia wakitumia hii Roxam boarder. Sasa hivi sheria imebadilishwa, amnapo haitaji tena ukiingia kupitia port of entry, bali ukiingia kutoka upande mwingine bila kujali ulipita port of entry au lah, ili mradi umeingia kutoka US or Canada basi utarudishwa upande ulioingilia. Hii itazidi kupunguza idadi ya wakimbizi kwenda Canada.
Bila hii sheria Canada ingekuwa na wakimbizi wengi kuliko US, maana yeye aylum seekers anahudumia kama mtoto wa mwishovau mtoto pekee, wakati US akishakupokea asylum seeker you are on your own, subiri miezi sita ipite ili wakupe vibali vya kufanya kazi uendelee kujitafutia , wakati Canada watakupima Canada you be granted the followung services, kama nilivyoi copy;
- greeting at the airport,
- temporary housing,
- help with finding permanent housing,
- help with registering for mandatory federal and provincial programs,
- orientation to the community, a service that includes
- providing contacts for safety and emergency services,
- introducing refugees to the city where they have settled,
- explaining
- public transportation,
- Canada's education and health care systems,
- Canadian laws and customs, and
- the local climate,
- personal finance help in areas such as
- budgeting,
- setting up a bank account and
- using debit and credit cards,
- basic "life skills" support for high needs clients, and
- referrals to other refugee programs.
Canada provides income support under the RAP to eligible refugees who cannot pay for their own basic needs. Support can include a:
- one-time household start-up allowance, and
- monthly income support payment.
The level of monthly financial support is generally based on the prevailing provincial social assistance rates in the province where the refugees settle. Financial support can last up to one year after a refugee arrives in Canada, or until they can support themselves, whichever occurs first.