Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Sema mashoga Yana fursa nyingi sana😀😀kama wale wakina James delicious ulaya wakiamua kwenda wanapata permit kabisa za kuishi
Hii dunia ni ya mapacha watatu, hao ndiyo wanalindwa sana duniani, Wanawake, Mashoga na Waafrika, hawa mapacha watatu kwa kweli ukiwagusa utazisikia kelele kutoka kila kona ya dunia
 
Sijui 🤣
Sasa mbona umekuja na confidence zote. Sisi tunaongelea wazamiaji na watafutaji maisha wa kawaida. Hao asylum seekers kesi yao ni tofauti, hao wakifika wanapokelewa vizuri kabisa, wamapewa nyumba na hela za furniture pia wanakua wanalipwa ka Canadian Dollar 5,000 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 kama atakuwa hajapatiwa kazi.
 
Hatuna haja ya kuthibitisha una Visa au La.

Ila kama una miaka below 25 you will make it, kazi za cash zipo nyingi sana hasa miji mikubwa kama Toronto, Ottawa, Alberta(hapa ndio kuna kazi nyingi sana), manipegs ila kodi ndio juu kidogo.

Unaweza kubadili Visiting Visa kwenda Work Permit ya miaka 3 ukiwa hapa endapo ukionyesha unaweza kujikimu uoneshe minimum $13,000(wamepandisha last month) au uwe na valid job offer hapo hutaonesha pesa

Ukizamia na miaka 25(utaish vizuri) omba mambo yafuatayo yasikupate
1.usiumwe
2.usipate ajali kazini(utakua huna SIN)
3.usipende sehemu zenye ugomvi hasa baa etc

Baada ya miaka 7 utaruhusiwa kuomba PR kwa Illegally Pathways to PR(hii njia wanatumia sana watu wa America kusini)

Be sure you have a valid reason to enter the country, Toronto pale kupakiwa urudi ni kama kusukuma mlevi

Canadian are so welcoming, wamefunza watoto wao kuheshimu kila mtu, huo ubaguzi unaosemwa Canada ni wageni kubaguana

Indian anajiona bora kuliko philippine, philippine anajiona bora kuliko Korean, Nigerian anajiona bora sana kuliko Ghananian and kenyan anajiona bora kiliko Tanzanian.

Hapa ni rahisi zaidi Indian kumcheka mwenzake akiwa hawezi kuongea vizuri English

Nimewahi zinguana na Indian, nikamwambia Maskini wote kwenye nchi zao wako hapa kutafuta maisha bora including me and you, shut up, aliomba msamaha

Canadian black peoples have more sense than American, in CANADA it's all about respect to each other na WAMEFANIKIWA 90%
 
I will play the devil's advocate here:

Ukikubali wewe ni shoga ili upate documents za kuishi kihalali nini kibaya kinakutokea kama ndani ya nafsi yako unajua wewe sio shoga? Documents zinaandikwa wewe ni shoga?

Ukikubali wewe ni shoga na kesho ukasema umekuwa straight inakatazwa? Sikuhizi kuna gender inaitwa non-binary umeisikia? Hao non-binary wanakatazwa na nani kuwa non-binary?

Kuna story nyingi sana za mitaani mnazitilia maanani na kujazana woga tu.
Masikini wee!! Mmeishaa..
😔😔
 
Kabla ya kuondoka ,tengeneza mazingira na documents za kuonyesha wewe ni shoga😀😀wapange ata jamaa zako wajifanye wamekufumania unataka kuliwa mzigo Kisha kareport police wamekuvamia kisa ushoga ,zitunze documents zote Kisha,tafuta organization yoyote inayosupport ushoga jiandikishe na uwe na documents za uanachama,Kisha sepa Canada ukifika tu tafuta LGBTQ organization jiandikishe na wape stori yako ya kukimbia Tanzania kwa sababu ya kutishiwa maisha kwa sababu wewe shoga,Kisha tafuta lawyer akupe msaada WA kuomba hifadhi Canada ya kuishi kwa sababu hauwezi kurudi Tanzania,kwa sababu ya kuhatarisha maisha yako,hii mbinu ukiitumia unapata permit ya kuishi na kufanya kazi,hii mbinu watu WA Uganda wengi wataitumia
🤔🤔😳😳
Kijana akajiandae kufumuliwa!!😳
 
Sasa mbona umekuja na confidence zote. Sisi tunaongelea wazamiaji na watafutaji maisha wa kawaida. Hao asylum seekers kesi yao ni tofauti, hao wakifika wanapokelewa vizuri kabisa, wamapewa nyumba na hela za furniture pia wanakua wanalipwa ka Canadian Dollar 5,000 kila mwezi kwa muda wa miezi 12 kama atakuwa hajapatiwa kazi.

FYI hata ukiingia legally at the point of entry kwa visa yeyote ile unaweza kuomba asylum.
 
Hatuna haja ya kuthibitisha una Visa au La.

Ila kama una miaka below 25 you will make it, kazi za cash zipo nyingi sana hasa miji mikubwa kama Toronto, Ottawa, Alberta(hapa ndio kuna kazi nyingi sana), manipegs ila kodi ndio juu kidogo.

Unaweza kubadili Visiting Visa kwenda Work Permit ya miaka 3 ukiwa hapa endapo ukionyesha unaweza kujikimu uoneshe minimum $13,000(wamepandisha last month) au uwe na valid job offer hapo hutaonesha pesa

Ukizamia na miaka 25(utaish vizuri) omba mambo yafuatayo yasikupate
1.usiumwe
2.usipate ajali kazini(utakua huna SIN)
3.usipende sehemu zenye ugomvi hasa baa etc

Baada ya miaka 7 utaruhusiwa kuomba PR kwa Illegally Pathways to PR(hii njia wanatumia sana watu wa America kusini)

Be sure you have a valid reason to enter the country, Toronto pale kupakiwa urudi ni kama kusukuma mlevi

Canadian are so welcoming, wamefunza watoto wao kuheshimu kila mtu, huo ubaguzi unaosemwa Canada ni wageni kubaguana

Indian anajiona bora kuliko philippine, philippine anajiona bora kuliko Korean, Nigerian anajiona bora sana kuliko Ghananian and kenyan anajiona bora kiliko Tanzanian.

Hapa ni rahisi zaidi Indian kumcheka mwenzake akiwa hawezi kuongea vizuri English

Nimewahi zinguana na Indian, nikamwambia Maskini wote kwenye nchi zao wako hapa kutafuta maisha bora including me and you, shut up, aliomba msamaha

Canadian black peoples have more sense than American, in CANADA it's all about respect to each other na WAMEFANIKIWA 90%

Word.
 
FYI hata ukiingia legally at the point of entry kwa visa yeyote ile unaweza kuomba asylum.
Nenda ukasome The Safe Third Country Agreement (STCA) kati ya US na Canada, ndiyo utaelewa kwanini asylum seekers walikua wakitumia hiyo njia hatari ya kupita hiyo an official border.
Huo mkataba unasema asylum seeker hawezi kuingia kupitia katika moja ya nchi hizo na kuingia nyingine kuomba asylum. Yaani kama unatoka Mexico au Tanzania halafu ukapita port of entry ya US and Canada na kwenda kuomba asylum Canada, mkataba huo unataka Canada ikurudishe US au ukiingia Canada then uende US basi unatakiwa kurudishwa Canada.
Mkataba huu unaagiza watu kurudishwa walipoingilia. Mtu atakayeingia nchi hizi kutoka moja ya nchi hizi kupitia port of entry basi arudishwe upande alioungilia, sababu kwa Canada, US ni 'Safe Country' na kwa US, Canada ni 'Safe Country'. Ndipo watu wakaja na idea ya kuanza kutumia Roxam border sababu ile siyo official port of entry hivyo wakiingilia pale hawapaswi kurudishwa wala kuzuiwa. Hii ndiyo ilikua inapelekea watu kuingia wakitumia hii Roxam boarder. Sasa hivi sheria imebadilishwa, amnapo haitaji tena ukiingia kupitia port of entry, bali ukiingia kutoka upande mwingine bila kujali ulipita port of entry au lah, ili mradi umeingia kutoka US or Canada basi utarudishwa upande ulioingilia. Hii itazidi kupunguza idadi ya wakimbizi kwenda Canada.
Bila hii sheria Canada ingekuwa na wakimbizi wengi kuliko US, maana yeye aylum seekers anahudumia kama mtoto wa mwishovau mtoto pekee, wakati US akishakupokea asylum seeker you are on your own, subiri miezi sita ipite ili wakupe vibali vya kufanya kazi uendelee kujitafutia , wakati Canada watakupima Canada you be granted the followung services, kama nilivyoi copy;
  • greeting at the airport,
  • temporary housing,
  • help with finding permanent housing,
  • help with registering for mandatory federal and provincial programs,
  • orientation to the community, a service that includes
    • providing contacts for safety and emergency services,
    • introducing refugees to the city where they have settled,
    • explaining
      • public transportation,
      • Canada's education and health care systems,
      • Canadian laws and customs, and
      • the local climate,
  • personal finance help in areas such as
    • budgeting,
    • setting up a bank account and
    • using debit and credit cards,
  • basic "life skills" support for high needs clients, and
  • referrals to other refugee programs.
Canada provides income support under the RAP to eligible refugees who cannot pay for their own basic needs. Support can include a:

  • one-time household start-up allowance, and
  • monthly income support payment.
The level of monthly financial support is generally based on the prevailing provincial social assistance rates in the province where the refugees settle. Financial support can last up to one year after a refugee arrives in Canada, or until they can support themselves, whichever occurs first.
 
Nenda ukasome The Safe Third Country Agreement (STCA) kati ya US na Canada, ndiyo utaelewa kwanini asylum seekers walikua wakitumia hiyo njia hatari ya kupita hiyo an official.
Huo mkataba unasema asylum seeker hawezi kuingia kupita katika moja ya nchi hizo na kuingia nyingine kuomba asylum. Yaani kama unatoka Mexico au Tanzania halafu ukapita port of entry ya US and Canada na kwenda kuomba asylum Canada, mkataba huo unataka Canada ikurudishe US au ukiingia Canada then uende US basi unatakiwa kurudishwa Canada.
Mkataba huu unaagiza watu kurudishwa mtu atakayeingia nchi hizi kutoka moja ya nchi hizi kupitia port of entry basi arudishwe upande alioungilia, sababu kwa Canada, US ni 'Safe Country' na kwa US, Canada ni 'Safe Country'. Ndipo watu wakaja na idea ya kuanza kutumia Roxam border sababu ile siyo official port of entry hivyo wakiingilia pale hawapaswi kurudishwa wala kuzuiwa. Hii ndiyo ilikua inapelekea watu kuingia wakitumia hii Roxam boarder. Sasa hivi sheria imebadilishwa, amnapo haitaji tena ukiingia kupitia port of entry, bali ukiingia kutoka upande mwingine bila kujali ulipita port of entry au lah, ili mradi umeingia kutoka US or Canada basi utarudishwa upande ulioingilia. Hii itazidi kupunguza idadi ya wakimbizi kwenda Canada.
Bila hii sheria Canada ingekuwa na wakimbizi wengi kuliko US, maana yeye aylum seekers anahudumia kama mtoto wa mwishovau mtoto pekee, wakati US akishakupokea asylum seeker you are on your own, subiri miezi sita ipite ili wakupe vibali vya kufanya kazi uendelee kujitafutia , wakati Canada watakupima Canada you be granted the followung services, kama nilivyoi copy;
  • greeting at the airport,
  • temporary housing,
  • help with finding permanent housing,
  • help with registering for mandatory federal and provincial programs,
  • orientation to the community, a service that includes
    • providing contacts for safety and emergency services,
    • introducing refugees to the city where they have settled,
    • explaining
      • public transportation,
      • Canada's education and health care systems,
      • Canadian laws and customs, and
      • the local climate,
  • personal finance help in areas such as
    • budgeting,
    • setting up a bank account and
    • using debit and credit cards,
  • basic "life skills" support for high needs clients, and
  • referrals to other refugee programs.
Canada provides income support under the RAP to eligible refugees who cannot pay for their own basic needs. Support can include a:

  • one-time household start-up allowance, and
  • monthly income support payment.
The level of monthly financial support is generally based on the prevailing provincial social assistance rates in the province where the refugees settle. Financial support can last up to one year after a refugee arrives in Canada, or until they can support themselves, whichever occurs first.

Mkuu, you're preaching to the choir. I know all about it.

Hapa tunaongelea kesi ya mleta uzi, yeye akitoka bongo hapiti US anaenda CN moja kwa moja, akiinga ndani he's very much eligible kuomba asylum akiwa CN. Unless kama mleta uzi kasema anafika US kwanza otherwise akiingia pale anahaki zote za kuomba ukimbizi, nawajua watu personally waliofanya hivi na wametoboa. CN ni nchi rahisi kupata makaratasi kuliko US that's a fact ila haijachangamka kama US.

Screen Shot 2023-06-06 at 10.53.25 PM.png
 
View attachment 2648564
Imebidi nikufanyie preaching kwa sababu at first ulianza kwa kybisha na kydhani hatujui tunachokiongea, then ukaileta issue ya asylum kama main topic wakati kwetu ilikua ni sehemu tu kati ya mengi.

How do you tell kwamba mleta mada yupo eligible kuomba asylum akifika Canada wakati yeye hajasema kuwa anataka kwenda kuomba asylum?
Swala la asylum ni sisi wachangiaji tumelileta wakati tunamshauri kuwa kuzamia kule siyo wazo zuri, na katika kutaja njia nzuri moja wapo ya njia nzuri ndiyo tukaitaja asylum ambayo nayo alitakiwa awe na sababu nzuri
 
I will play the devil's advocate here:

Ukikubali wewe ni shoga ili upate documents za kuishi kihalali nini kibaya kinakutokea kama ndani ya nafsi yako unajua wewe sio shoga? Documents zinaandikwa wewe ni shoga?

Ukikubali wewe ni shoga na kesho ukasema umekuwa straight inakatazwa? Sikuhizi kuna gender inaitwa non-binary umeisikia? Hao non-binary wanakatazwa na nani kuwa non-binary?

Kuna story nyingi sana za mitaani mnazitilia maanani na kujazana woga tu.
No matter what usikubali kuvijiita shoga ili ufanikiwe jambo ni dhambi itakayo kutafuna. Case closed.
 
Siwezi kuishia airport kwasababu nina strong reason ya kuingia, na nimelipia kila kitu, issue ni kuwa nikisha maliza hiyo event ndiyo nazamia.
Haijalishi umeshapata Visa ama la, ila ninachosema mimi ni kwamba mamlaka itakayokuzuia kwenda Canada ni ya hapa; na si wao Canada. Kunuia kutororka nchi uliyozaliwa ni kosa la jinai kisheria na unaweza ukashtakiwa mahakamani. Hautaenda tena Canada
 
Wanajua wengi wanatumia kigezo cha ushoga kuzamia nchi ya Canada, hivyo ukiingia na gia ya kupewa hifadhi kisa ushoga au usagaji utapelekewa moto kweli maana matapeli wamekuwa wengi siku hizi

mtu anajifanya upinde ili apewe hifadhi hivyo ili kuwatest siku hizi unapelekewa mkulunge kwanza, sasa ukijilipuq jilipue kivingine, vinginevyo marinda bye bye
 
Kipindi kile walikuwa wakikatiza toka Marekani na bado wakarudishwa. Pia ujue ni wabaguzi wa kunuka japo hawaoneshi wazi.
Hiyo nchi watu wabaguzi ni foreigners wadosi,wafilipino na wachina bila kumsahau mwarabu hata wazungu wamewachoka tabia zao
 
Hiyo nchi watu wabaguzi ni foreigners wadosi,wafilipino na wachina bila kumsahau mwarabu hata wazungu wamewachoka tabia zao
Nakubaliana nawe. Wamechoshwa na hawa watu ukiachia mbali wengine wakiingia wanakuja na ugaidi wao
 
Back
Top Bottom