Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Ndo maana mnalogwa nyie ahahahah
 
Mm nimependa kipengele cha familia wake 3 watoto 16😀😀
 
.... maisha maana yake nini nini? kusoma au kufanya kazi za kuajiliwa siyo maisha? Kikwete, Karume, na Shein hawan maisha?
 
Watoto 16? Basi tena, hakuna utajiri hapo..
 
Halafu mwisho wa wasifu unakuta hajaacha hata genge la kuuza nazi.

Mwamba katimiza hasa principle ya maisha. Kazaliwa, kaishi na kafariki. No mbwembwe.
 
Hapo usimamizi wa Mali zilizoachwa ni Mgumu mno,idadi ya hao watoto ma mama Zao hawawezi kuwa na niya Moja ya kuziendeleza mwisho wataishia kusema kila Mtu afe na chake baada ya hapo biashara imeisha inabaki historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…