Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Wewe ni jinga tuNiteme arifu,punguza shobo mtoto wa kiume,usiwe na tabia za kina jumalokole kuparamia watu usowajua🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni jinga tuNiteme arifu,punguza shobo mtoto wa kiume,usiwe na tabia za kina jumalokole kuparamia watu usowajua🤣🤣🤣
Mama anafungua nchiHeri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.
Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.
Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.
Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.
Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Mkuu Allah yupi huyo?Allah atakulinda mkuu
Kwani kuna yupi na yupi?Mkuu Allah yupi huyo?
Uchawi hauzuiliwi na polisi. Anapigwa kipapai huyonenda polisi
Hii biashara ya huyu mdudu 🐷🐖 haijawahi kuwa haramu mkurugenzi.Biashara haramu hiyo uaneni tu
Ongea nao Ili wote muuzw Kwa elfu kumiHeri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.
Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.
Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.
Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.
Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Yesu mbona aliweza na Mayahudi wenzake mpaka leo hawali sawa na Waislamu 🐷🐷🐷Hivi mtu anaishi vipi bila kula Nguruwe???? Sielewii!
Ushindani gani unaozungumzia babu? Biashara ina mbinu nyingi, yeye kaamua kuongeza mauzo Kwa kupata faida ndogo hiyo pia ni technique, kama hapati faida automatically atafunga kijiwe mwenyewe na hakuna wakuja kumshikia panga.Bei uliyo shusha haipo kiushindani! Ungefanya hata elf10 au 11 atleast
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Kuna wapumbavu hii nchi mtaka kuifanya ya Baba yenu, kwanini umpangie mtu bei ya kuuza? Kama anauza bei ya hasara automatically hatachukua round biashara itakufa yenyewe, huku shinyanga na geita miaka ya nyuma jamaa wa kaskazini waliiteka biashara ukanda huu Kwa bei za kuumiza Ila tangu mnyantuzu kaijua biashara jamaa wote wamechora. Wote mnaotaka na kulazimisha kufix bei ni wapuuzi na wapumbavu wakubwa.Hata mimi ningekufata, hawa watu humu wanakuvimbisha kichwa ila ukweli ni kuwa unaharibu biashara za watu na watakufanya kitu mbaya ukizidi kuwa kichwa ngumu.
Pandisha bei hadi 11500 au 11000 utaeleweka.
Polisi ipi mnayoongelea Nyie. Naona Kila MTU hapa nenda Polisi nenda Polisi. Ukute Polisi ndo wenye bucha.Karipoti polisi kutishiwa maisha.
Nunua bunduki, Kila SIku kabla ya kulala unafyatua Risasi Tatu angani.Heri ya Pasaka!