King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Hakuna kupandisha kama wanafamilia so what? Kama familia ndo tatizo wauze na wao elf8 kama jamaa au wauze elf5 kabisa!Toa taarifa na uhakikishe kipindi wanakutisha kuwa na simu unawa record kwa siri halafu peleka polisi ila wahurumie kidogo wapandishie kilo 10,000 kumbuka nao wana familia