Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

Aiseeee kwa nini awali ulikuwa huuzi?? Actually ilitakiwa ili ku penetrate kwenye hiyo new market mwanzoni upunguze bei mfano elfu 10 ili wateja wakujue haraka. Wakishakujua sasa unaweza kurudi kwenye bei ya kawaida ya soko...
Mm niliwai fanya biashara ya nguruwe Ni Kweli ktk nguruwe ipo mausa USA ukienda tofauti na ulio wakuta

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Heri ya Pasaka!

Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.

Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.

Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.

Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.

Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Sasa Kaka Kam unaweza pata nguruwe wa tatu bas wee uwe ubawasambazia wake jamaa kwa Bei ya jumla na rejareja kwa Bei hyo wao wakauze kwa 12 ila Kam Ni ngumu watakufanyia ubaya sanaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa huko vijijini kwenu wala siwezi kushangaa Kwa kweli! Halafu kuua mtu mnachukilia kama kuua panzi yaani kutishiwa kuuliwa aiseee ningekuwa tayari nishavuna million kadhaa
Kwa akili ya kawaida tu unahisi mleta uzi yuko wapi?

Unatoa ushauri kama vile unamshauri mfanyabiashara wa kariakoo eti? Halafu biashara ya bucha sio sawa na nguo hata uwe wapi ukishusha bei hivo kwa nature ya hiyo biashara hakuna ataekuvumilia.

Unadhani kuua ni kwa kuchoma kisu tu, leta za kuleta uoneshwe njia 99 za kuua bila kuacha alama.
 
Kuna kijiji kimoja niliwah kukuta kuna maduka mawili,hao majamaa wenye hayo maduka ni mamafia balaa,wengi wanaokuja kuanzisha hapo biashara kama hyo wanapigwa mikwara na kuibiwa pia wanabomoa usiku na ukija na bei ndogo ndogo kila siku wanakuwa wanakufata

Kwenye biashara lazima wafanyabiashara muwe kitu kimoja kumkandamiza mnyonge
SAS una ungana VIP wakt kasema alikuwa anausa Bei hyo ya 12 nyama mpk sinaharibika na kuzitupa

Msingi Kam yey anapata faida bas afanye ila Kam anarekodi loss afunge

Nin uzoefu na biashara hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usitangaze popote itakuletea matatizo na utaiua biashara yako jumla.
Cha kufanya zungumza nao,waambie wote kwa pamoja mpunguze walau uzeni kwa 11 elfu au kumi.
Vita ya kiuchumi ni mbaya,watakufyagia hao wewe na familia yako.
We unadhani China na wadau wake wanavyoigomea dollar marekani anafurahia khaa kiufupi anawalia timing tuu
Punguzeni,nitawaungisha wote.
 
SAS una ungana VIP wakt kasema alikuwa anausa Bei hyo ya 12 nyama mpk sinaharibika na kuzitupa

Msingi Kam yey anapata faida bas afanye ila Kam anarekodi loss afunge

Nin uzoefu na biashara hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa kuua ni rahisi hivyo mie ningekuwa marehemu kitambo make natumia hiyo mbinu ya kushusha bei ili kutengeneza mzunguko mkali na wala sijawahi kuletewa shida na washindani wenzangu.
 
We kaza fuvu na washauri uchwara wa jf ambao wako wanapigwa kiyoyozi huko makazini kwao.
Usipokua makini utauliwa kweli, upungeze buku 4 nzima halafu utegemee kuchekewa tu.

Wenzio wanapunguza jero tu, na wala haikai saana unazoeana na wateja, unatumia ushawishi wako unapora watej wao then unaanza kuuza bei kama wao.

Hiyo strategy uliyotumia ni hatari kwa usalama wako na familia yako.

Kua mchangamfu, kua na huduma ya delivery (free), ajiri kijana (spy) wa kupeleleza info za washindani wako, bei zao haiba zao, aina za wateja alionao nk.

Ukishupaza fuvu kwa kujitia ni haki yako kuuza kwa bei utakayo utaliwa kichwa kweli.
kuna majitu humu ni majinga mno. JF si home of great thinkers tena kwa sababu ya wajinga na wapumbavu kama siyo mamburula wachache. Ushauri wanaompa mtoa mada ni wa kitoto sana. Sijui hata kama wanafikiria impact ya ushauri huo. Wengi mpaka sasa zaidi ya 97% wametoa ushairi wa kipuuzi na wa kimburula mno. Hii si JF ya miaka hiyo. Halafu wakishauriwa wanaleta ujuaji. Hivi ushushe bei kutoka 12000 mpaka 8000 kweli? Hao jamaa kwanza ni wastaarabu sana na walimfuata kiungwana. Wote wanategemea biashara hiyo na wana familia pia, mbaya zaidi amewakuta kwenye biashara, angeshusha atleast 1000 angepungukiwa nini? Asikaze kichwa, akae nao mezani wajadili vizuri kwa amani, wote ni wafanyabiashara. Aachane na ushauri wa mamburula wa humu.
 
Heri ya Pasaka!

Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.

Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.

Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.

Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.

Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Tupe dira tuje ila kwa alfu nane nane🏃🏃
 
kuna majitu humu ni majinga mno. JF si home of great thinkers tena kwa sababu ya wajinga na wapumbavu kama siyo mamburula wachache. Ushauri wanaompa mtoa mada ni wa kitoto sana. Sijui hata kama wanafikiria impact ya ushauri huo. Wengi mpaka sasa zaidi ya 97% wametoa ushairi wa kipuuzi na wa kimburula mno. Hii si JF ya miaka hiyo. Halafu wakishauriwa wanaleta ujuaji. Hivi ushushe bei kutoka 12000 mpaka 8000 kweli? Hao jamaa kwanza ni wastaarabu sana na walimfuata kiungwana. Wote wanategema biashara hiyo na wana familia pia, mbaya zaidi amewakuta kwenye biashara, angeshusha atleast 1000 angepungukiwa nini? Asikaze kichwa, akae nao mezani wajadili vizuri kwa amani, wote ni wafanyabiashara. Aachane na ushauri wa mamburula wa humu.
Wewe ndio mjinga kuliko hata hao unaowasema. Ukiuza bei ndogo sana tofauti na wenzako tafsiri yake utapata hasara na utafunga tu mwenyewe.

Biashara ingekua Kama unavyosema basi Leo hii vunjabej angekua kishauliwa, maana pale sinza maduka yote walikua wakiuza jeans 25000-30000, yeye alienda pale na kuanza kuuza 19000. Na bado wapo ambao hawaendi kwake kununu wanaenda kwa hao wa 30000. Hata akija mtu kupunguza Bei kiasi gani bado Kuna watu hawapendi vitu vya bei rahisi

Huo ujinga mnawafanyia wajinga tu wa huko vijijini, mjini hapa Dar hakuna kenge anayeweza kumpamgia mtu bei ya kuuza. Mafuta tu haya ya petrol yanayonunuliwa kwa pamoja nje ya nchi na kuwekwa bei ya serikali Ila bado Kuna vituo Kama GBP wanauza bei ndogo kuliko hata iliyowekwa na serikali, ulishaona Total, Puma, oilcom wakilalamika kuwa GBP wanauza mafuta bei ndogo?
 
Ahsante kwa mchango wako. Hoja yangu ilijikita kwenye wale washauri waliomuambia mtoa mada avimbe kichwa, hii si nzuri sana kwa mtoa mada. Na ndiyo maana nikamalizia, wakae mezani wamalize tofauti zao, kwa sababu wote ni wafanya biashara.
 
Hakuna Cha kukaa mezani. Biashara ni yake na mtaji ni wake, hata akiamua kutoa bure sawa tu. Baada ya muda atanyooka maana yeye ndio atapata hasara.

Narudia tena ni huko vijijini tu ndio mnaweza kumtisha mtu anayefanya biashara. Maji ya Kilimanjaro litre 1.5 walikua wakiuza sh.1000, lakini uhai ya litre 1.5 bakhressa akaamua kuuza sh.500 uliona wapi mengi alimwita bakhressa wazungumze?

Hakuna mazungumzo kwenye mtaji wa mtu ambao hujachangia. Ingekua Kuna mazungumzo basi dar yote kila siku ingekua ni kuzungumza tu. Daladala tu zenyewe hizi ambazo serikali imeweka nauli sh.500 lakini bado Kuna wengine wanapita na kupiga debe kwa sh.400. si ingekua kila siku wanapigana.
 
Kwa mfano wa Mengi ulioutoa naona hauakisi sana hoja yangu. Kwa nini? Kwa sababu ongezeko la mia tano ambalo jumla ni elfu moja, siyo sawa na punguzo la 4000 kutoka 12000. Hiyo ni moja, mbili ni mazingira ya biashara, mtoa mada yupo mazingira ya karibu zaidi na mahasimu wake tofauti ilivyokuwa kwa Mengi na Bakhresa. Mwisho, nature ya biashara ya maji ni tofauti sana na nature ya biashara ya nyama tena ya nguruwe.

Anyway but thanks for your contribution.
 
Badilisha tangazo na kuandika 12,000/= ila wateja wakija unawapunguzia bei! Au hama kabisa eneo.Huo mjumbe siyo mzuri.
 
Back
Top Bottom