ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Humu ndani watu wana visa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ alikutongoza ukamkataa niniHata mimi kuna kichaa mmoja
Kila akiona sehem nime comment anakuja kuni QUOTE matusi ๐ haijatosha mpka PM nika mlima block๐๐ฎ
Hata najua basi dah ๐๐Humu ndani watu wana visa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ alikutongoza ukamkataa nini
Nadhani unijui kabisa mkuu .Badili content mkuu hizi content zako za kidini ndio hutengeneza enmity kwa member wa humu ligi za kidini hazina faida yoyote kidini wala kijamii
Kwa mlengo wa kiislam kuweka ligi inayosababisha dini yako idhihakiwe na kutukanwa ni kama wewe ndio umeitukana au kuidhihaki dini yako maana ungenyamaza hao watukanaji wasingefanya hivyo kwahiyo unaweza dhani ndio waitetea kumbe waitukana dini yako bila kujua hivyo si vizuri kuanzisha ligi za kidini mara nyingi hazijengi zaidi ya matusi na dhihaka
Wewe ndio Umeona hicho tu??Kwamba maghayo anapanua?
Ya kweli hayo mkuu?Kweli kabisa , jamaa kichwa chake kichafu sijawahi kuona kama kashawahi jirekodi anaNyetuka live baada ya kugombana na kina lamomy katika Uzi Fulani na kutupia live Jf ili awakomoe wadada hao unadhani ni kawaida hiyo ?
Nina video zake za vituko mpaka nacheka sana . Bangi anayovuta ichunguzwe na kuwekwa katika list ya madawa hatari sana kwa mwanadamu.
Usiwe unakataa bana sio vizuriHata najua basi dah ๐๐
Sawa nitakua nakubari kwa ajili yako ili ufurahiUsiwe unakataa bana sio vizuri
adriz de mbusii hadi ukome maamaeHata mimi nilikuwa na mtazamo huo , ila Kuna scenarios utakutana nazo zitakufosi hivyo.
Imagine mtu kila ukifungua Jf unakuta notification ukichungulia unakuta anakutukania Mama yako bila sababu yeyote just for fun , sasa hata kama wewe hauchukulii vita siriazi utakubali kila siku unayaangalia matusi tu si bora upige block usione na yeye ataacha automatically kwa kuona anayekukusudia kukukera hauoni ?
Mbona hizo IDs zote ni mtu mmoja, yaani umezipiga ban IDs zako mwenyewe?Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250
#UziTayari
Sipendi kuona dhihaka za kidini nachukia sana cha ajabu humu imekuwa ndio platform ya chitchat and jokes ni ujinga sana kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya utani mbali na mambo za diniNadhani unijui kabisa mkuu .
Mimi sio religious fanatic kama wengine mwenye kazi hiyo Jf , sijawahi kuanzisha Uzi wowote wa uchokozi na kebehi dhidi ya watu wa dini nyingine kwani naamini unapomchokoza mtu makusudi au kumtukana unajitengenezea mazingira ya wewe kutukanwa .
Mimi nimekuwa muhibiri wa Amani na kuacha uchokozi wa kidini kwa miaka mingi Jf na nimekuwa nikikataza mpaka Waislamu wenzangu mabishano ya hovyo ya kidini na matusi . Jambo hilo limepelekea kuwa na marafiki wengi humu mpaka baadhi ya Wakristo wananifuata inbox kunipongeza na kwenye post mbalimbali wakiniTag kuniona mtu ambaye wanaweza kujadiliana nae kistaarabu.
Udhaifu wangu ni mtu anaposhambulia kwa dhuluma ,uongo na ujeuri huwa simvumilii lazima ni dili nae kama alivyokuja au kumpuuza niligundua kuwa ndio kazi yake Fujo na matusi na sio mtu wa hoja , labda wewe umenishuhudia katika hali hii lakini sina pigo eti niamke nije Jf kuisema dini Fulani hiyo hapana , ukiona nashambulia basi ni kujilinda baada ya kuchokozwa na sio kuanzisha.
Yamekuwa hayo mara hii icje kuwa sababu ya kuwekwa ignore list hii๐Sawa nitakua nakubari kwa ajili yako ili ufurahi
Hebu niwekee hiyo video PM huenda nitajifunza style mpya ya kunyetuka.Ndio mkuu aliweka black mode kama hii na akaficha sura ila kuNyetuka ilikuwa real live .
VPN tu inasumbua ningekuwekea sample video
Mtaje tumshambulie kwa makombora ya ballistic.Hata mimi kuna kichaa mmoja
Kila akiona sehem nime comment anakuja kuni QUOTE matusi ๐ haijatosha mpka PM nika mlima block๐๐ฎ
Unitumie na mie sijawahi kuona hii kitu๐Hebu niwekee hiyo video PM huenda nitajifunza style mpya ya kunyetuka.
๐.