Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Ingependeza ukawateka
 
Hilo waga shoga tupa ignore binti! Ukiendelea kukaa nalo hapo litakukiminia mitusi mikali na lina sapotaz wenzie hawajaamka tu!
 
๐Ÿ˜๐Ÿ™Œwewe muhuni umetowa wapi blue tiki...Leo ndiyo naiona ๐Ÿ™Œ...mbona mimi Genius sina hata white tiki๐Ÿค”โœ…
 
๐Ÿ˜๐Ÿ™Œwewe muhuni umetowa wapi blue tiki...Leo ndiyo naiona ๐Ÿ™Œ...mbona mimi Genius sina hata white tiki๐Ÿค”โœ…
Nina kama miezi 3 hivi ninayo , wahuni walikuwa wanaiga akaunti yangu nikataka nijitofatishe niwe verified.

Hahahahaha!! eti genius.... Genius unaishi kwa kamari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ