Hii nimeamka nimekuta sasa hivi pesa imeingia ๐ wewe umeingiza sh ngapi hadi sasa hivi ...kama siyo kutumia pesa ...hapa chai ya maziwa pure bila ya kuweka maji na chapati 4 safiNina kama miezi 3 hivi ninayo , wahuni walikuwa wanaiga akaunti yangu nikataka nijitofatishe niwe verified.
Hahahahaha!! eti genius.... Genius unaishi kwa kamari ?
Kila siku unashinda tu hauliwi mbona unatupanga ?Hii nimeamka nimekuta sasa hivi pesa imeingia ๐ wewe umeingiza sh ngapi hadi sasa hivi ...kama siyo kutumia pesa ...hapa chai ya maziwa pure bila ya kuweka maji na chapati 4 safi
Wewe huoni jina hilo kwenye mkeka (lwiva)....Genius ni genius tu kila siku nakula hata mikeka 6 nitskavyo ila naliwa sh 500 sh1000 cha msingi nabetia pesa ya kanji ..sasa hivi nina sh kama elfu 80000 pesa ya kanji ipo kwenye sportbety kwa ajili ya kuchezea tu.Kila siku unashinda tu hauliwi mbona unatupanga ?
Mimi nakula kwa jasho langu
๐๐Enjoy ๐
Hizo zote ni ID za mtu mmoja.Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250
#UziTayari
Mjumlishe hapo GENTAMYCINEMoja kwa moja.

Nawezaje kuwapa ban na MimiMoja kwa moja.

Screenshot ya login/saved passwords zake umeitoa wapi au wewe ndio hao members. Maana ignore list haiwi hivyo
Kwakuwa anakukaza sana?Mjumlishe hapo GENTAMYCINE
We mwanamke una matusi sana kwa wanaume! Ndiomaana uolewi hadi leo bibieKwakuwa anakukaza sana?
Tayali nishalitupa huko ๐ค๐Hilo waga shoga tupa ignore binti! Ukiendelea kukaa nalo hapo litakukiminia mitusi mikali na lina sapotaz wenzie hawajaamka tu!
Gentleman,Tlaatlaah ,ChoiceVariable Lucas mwashamba ninyi uvumilivu kwangu ushafikia mwisho. Kinachofuata ni kuwa ignore tu.
Mimi mpaka kujiita Mafia unadhani kawaida ?Screenshot ya login/saved passwords zake umeitoa wapi au wewe ndio hao members. Maana ignore list haiwi hivyo
Nimefanya makusudi kumdhalilisha na kumfichua .Hizo zote ni ID za mtu mmoja.
Ungesema umempiga ban huyo member๐๐
Namuoma imam wangu hapo busu la.kenge