Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
[emoji848][emoji848][emoji848]aiseee
 
mkuu shugulisha ubongo wako hata kidogo basi sio unatumia akili kuvukia barabara tu movie ya Harry Potter imeonesha kuwa hata ulaya kuna uchawi ndio mana wakaweka ile theme wamejalibu ku portray kuwa hata wao ni wachawi
Mkuu, unapoelekea sasa hata WOLVERINE wa movies za X-MEN utasema yupo kweli duniani.
tujifunze na kuelewa inamaanisha nini pale tukiona movie imeandikwa "Sci-Fi", " Supernatural " na "for dramatization purpose".
In the ancient times, way way back huko watu wa Europe na wao walikuwa wanaamini katika Witchcraft pia, lakini kadri karne zilivyozidi kwenda wengi walikuja kuona kuwa Witchcraft ni non-sense na ni imani tu ya kipuuzi inayopotosha kuhusu mengi (non-sense).
Watu wa EUROPE na NORTH AMERICA wamebaki hizi imani kuzitumia kama Burudani kwenye "Supernatural Movies & Novels" tu kwa stori za KUFIKIRIKA (fiction).
Mambo ya HARRY POTTER ya kupaa JUU ANGANI kwa kutumia UFAGIO kama yangekuwa yapo EUROPE kweli, basi Europeans wala wasingewekeza MABILIONI kutengeza DRONES, AUTO-MOBILES, SOFTWARE na NDEGE ZA KIVITA... wangetumia tu hizi fagio zao kupaa.
It is 21st Century, and its shame hii imani bado imebaki Africa mpaka sasa, Mtu anaamini mtu hawezi kuwa Tajiri hivi hivi tu, mtu akimuona tajiri basi anamuhusisha na imani potofu.
Tukumbuke kwamba Utajiri is not for everybody, ila tusichoke kupambana tutafute, UTAJIRI NI KAMA KUPATA "A" YA MATHEMATICS VILE, SIYO KILA MTU ATAPATA!
 
Mkuu, unapoelekea sasa hata WOLVERINE wa movies za X-MEN utasema yupo kweli duniani.
tujifunze na kuelewa inamaanisha nini pale tukiona movie imeandikwa "Sci-Fi", " Supernatural " na "for dramatization purpose".
In the ancient times, way way back huko watu wa Europe na wao walikuwa wanaamini katika Witchcraft pia, lakini kadri karne zilivyozidi kwenda wengi walikuja kuona kuwa Witchcraft ni non-sense na ni imani tu ya kipuuzi inayopotosha kuhusu mengi (non-sense).
Watu wa EUROPE na NORTH AMERICA wamebaki hizi imani kuzitumia kama Burudani kwenye "Supernatural Movies & Novels" tu kwa stori za KUFIKIRIKA (fiction).
Mambo ya HARRY PORTER ya kupaa JUU ANGANI kwa kutumia UFAGIO kama yangekuwa yapo EUROPE kweli, basi Europeans wala wasingewekeza MABILIONI kutengeza DRONES, AUTO-MOBILES, SOFTWARE na NDEGE ZA KIVITA... wangetumia tu hizi fagio zao kupaa.
It is 21st Century, and its shame hii imani bado imebaki Africa mpaka sasa, Mtu anaamini mtu hawezi kuwa Tajiri hivi hivi tu, mtu akimuona tajiri basi anamuhusisha na imani potofu.
Tukumbuke kwamba Utajiri is not for everybody, ila tusichoke kupambana tutafute, UTAJIRI NI KAMA KUPATA " A" YA MATHEMATICS VILE, SIYO KILA MTU ATAPATA!
Kikubwa Ni kwamba mkuu huamini katika uchawi, si ndio?
 
nashukuru umekubali idea yangu ya ushaidi wa movie ya harry potter ila unaonekana chadema wewe na una majeraha ya uchaguzi
 
kwa hiyo pia wataka kusema kuwa Superman ni "real person" na siyo "fictional" huko America. Tukitaka ushahidi tutizame movie ya Superman.
Unapoelekea sasa mwisho wa siku utatuambia hata Spiderman ni kweli na tukitaka ushahidi tuangalie movie ya Spiderman.

Harry Porter, Movie unaona kabisa imeandikwa ni "Science Fictional" lakini unakazania kusema ni kweli.
Mwanamama JK Rowlings ambaye ndiye alianzisha stori za Harry Porter duniani yeye mwenyewe anasema ni za kufikirika na za kutunga tu ili kuleta burudani.
Mkuu, kuwa Milionea (USD millionaire) siyo sawa na kuwa na ngozi mwilini kwamba kila mtu anayo.
Kuwa Milionea siyo rahisi na ndiyo sababu mtu akifika u-milionea tu basi wengi wetu tunadhani kuwa siyo bure kuna "ndagu".
UTAJIRI WA USD MILLIONS NI KAMA KUPATA "A" YA MATHEMATICS hivyo siyo kila Mtu atapata.
ila tusichoke kupambana! tutafute Utajiri, Sababu you never know.
Hata wewe Mkuu, siku ukifanikiwa tu lazma wengi tutakuhusisha na imani potofu.
mkuu ebu google magical wand uone ni nini ndio utajua kuwa ulaya uchawi upo
 
Ila jamaa alikuwa na kiburi aisee! Kama kuna mganga basi Wake ni kiboko na kama kuna kafara basi hiyo yake ni muafaka.unaishi kwa raha kwa muda mfupi na unaungua na demu wako mpaka majivu.ni sadaka nzuri.
Hatare sana[emoji848][emoji848]
 
Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Asee[emoji848]
 
Hii ni kama mamaake Jacky Pemba

Yuko huko segerea uswekeni ni masikini wa kutupwa ila Jacky anaosha magari na champagne
 
Ndio hivyo mkuu kupata kwako ngoma ilipangwa forces za nature zilikupeleka ugegede ili upate ngoma na ufe jins ilivyopangwa.

Jiulize wangapi wanagegesa ovyo ovyo hawapati ngoma na kufa tu huku wamelala usingizini.

Hivi vitu ni kweli kabisa
Watu hawaamini kabisa
 
Hahah unamsemea yule mtoto wa mzee Rupia.
Huyo mbaba anaitwa Peter Rupia, ni jirani yangu kabisa mbezi anayoyafanyaga humo ndani kwake ni laana[emoji848]

Sijui walezi wake walimleaje asee, katokaga huko ulaya na uzee na uzungu wake kafyatukia bongo

Kuna siku kaibiwaga vitu vyote humo ndani kwake
 
Hizo bei zako ziko waaaaaay off mfano g63 haiwezi fika 1m usd. Mpya fully optioned haifiki 200,000 usd
 
Mkuu, unapoelekea sasa hata WOLVERINE wa movies za X-MEN utasema yupo kweli duniani.
tujifunze na kuelewa inamaanisha nini pale tukiona movie imeandikwa "Sci-Fi", " Supernatural " na "for dramatization purpose".
In the ancient times, way way back huko watu wa Europe na wao walikuwa wanaamini katika Witchcraft pia, lakini kadri karne zilivyozidi kwenda wengi walikuja kuona kuwa Witchcraft ni non-sense na ni imani tu ya kipuuzi inayopotosha kuhusu mengi (non-sense).
Watu wa EUROPE na NORTH AMERICA wamebaki hizi imani kuzitumia kama Burudani kwenye "Supernatural Movies & Novels" tu kwa stori za KUFIKIRIKA (fiction).
Mambo ya HARRY PORTER ya kupaa JUU ANGANI kwa kutumia UFAGIO kama yangekuwa yapo EUROPE kweli, basi Europeans wala wasingewekeza MABILIONI kutengeza DRONES, AUTO-MOBILES, SOFTWARE na NDEGE ZA KIVITA... wangetumia tu hizi fagio zao kupaa.
It is 21st Century, and its shame hii imani bado imebaki Africa mpaka sasa, Mtu anaamini mtu hawezi kuwa Tajiri hivi hivi tu, mtu akimuona tajiri basi anamuhusisha na imani potofu.
Tukumbuke kwamba Utajiri is not for everybody, ila tusichoke kupambana tutafute, UTAJIRI NI KAMA KUPATA " A" YA MATHEMATICS VILE, SIYO KILA MTU ATAPATA!
Wewe ni mbishi tu ila teknlojia nyingi zinakua successful kwa msaada wa uchawi. Asikudanganye mtu Physics ni uchawi
 
Back
Top Bottom