Mkuu, unapoelekea sasa hata WOLVERINE wa movies za X-MEN utasema yupo kweli duniani.
tujifunze na kuelewa inamaanisha nini pale tukiona movie imeandikwa "Sci-Fi", " Supernatural " na "for dramatization purpose".
In the ancient times, way way back huko watu wa Europe na wao walikuwa wanaamini katika Witchcraft pia, lakini kadri karne zilivyozidi kwenda wengi walikuja kuona kuwa Witchcraft ni non-sense na ni imani tu ya kipuuzi inayopotosha kuhusu mengi (non-sense).
Watu wa EUROPE na NORTH AMERICA wamebaki hizi imani kuzitumia kama Burudani kwenye "Supernatural Movies & Novels" tu kwa stori za KUFIKIRIKA (fiction).
Mambo ya HARRY PORTER ya kupaa JUU ANGANI kwa kutumia UFAGIO kama yangekuwa yapo EUROPE kweli, basi Europeans wala wasingewekeza MABILIONI kutengeza DRONES, AUTO-MOBILES, SOFTWARE na NDEGE ZA KIVITA... wangetumia tu hizi fagio zao kupaa.
It is 21st Century, and its shame hii imani bado imebaki Africa mpaka sasa, Mtu anaamini mtu hawezi kuwa Tajiri hivi hivi tu, mtu akimuona tajiri basi anamuhusisha na imani potofu.
Tukumbuke kwamba Utajiri is not for everybody, ila tusichoke kupambana tutafute, UTAJIRI NI KAMA KUPATA " A" YA MATHEMATICS VILE, SIYO KILA MTU ATAPATA!