Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Mimi cha kwangu nilikaacha kaende ,kwa sababu kalikua na bibi yake.,ila nilishangaa siku moja kaliniambia dini ina kautapeli , nilishangaa sana😁😁😁
 
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu kuwahi kutokea duniani. Unawaweka watoto wako katika wakati mgumu bila sababu ya msingi. Pia kuachana na mkeo kisa imani yake ni upumbavu uliovuka mipaka. Zaidi ya uasherati hakuna sababu nyingine ya watu kuachana.
 
Hao watoto unaowakataza kwenda kusikia maneno ya Mungu ipo siku watakuinukia wakukate vipande vipande.
Una uhakika yale ni maneno ya Mungu.
Yaani yeye atuambie kuwa samehe saba mara sabini ila adam na Eva walikula tunda moja tu tena walimegeana ila hakuwasamehe mwishowe katoa laana mpaka kizazi na kizazi kina laana ya kuhasi.
Ni uongo tu wakenya wanasema hizo ni stori za jaba
 
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu kuwahi kutokea duniani. Unawaweka watoto wako katika wakati mgumu bila sababu ya msingi. Pia kuachana na mkeo kisa imani yake ni upumbavu uliovuka mipaka. Zaidi ya uasherati hakuna sababu nyingine ya watu kuachana.
Wewe jamaa huwa unakurupuka sana katika kusoma au uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kama chawa.

Ameacha mama ya watoto wake aendelee kuwa nyumbu wa imani na sio kuwa amemuacha kindoa.
 
Mimi cha kwangu nilikaacha kaende ,kwa sababu kalikua na bibi yake.,ila nilishangaa siku moja kaliniambia dini ina kautapeli , nilishangaa sana😁😁😁
Huyu ananyima watoto ile social capital.

Watashindwa kuchangamana na watu....

Mwishowe wakose fursa za muhimu

Ajiulize yeye alipokuwa mdogo alilazimishwa kutokwenda kanisani?

Sawa alilazimishwa kwenda, ila watu wanaona kwenda ndo vizuri, hawakuona ni kosa.

Ajiulize ni watu wangapi aliweza kuwa nao karibu kupitia dini, aidha kukutana kanisani au kupiga stori tu....
 
Mfano wewe una uhakika kuwa mama yako mzazi ndie huyo kuwa labda walikuokota jalalani baada ya kutelekezwa na mama yako halisi

Au una uhakika gani kama huyo baba yako ndie mwenyewe ?
 
Kitu siwezi kufanya ndio hicho japo sina dini mimi, mwanangu wa kiume yeye kachagua kuwa mkristo wa kike naona anapenda uislamu kama bibi yake.
 
ukisikia uzuzu ndo huu Sasa....yaan unawafundisha good manners kwa standard gani au ipi??

kwa mfano utamkataza mtoto wako kuua au kutembea na dada yake halafu atakuuliza kwa nini unanikataza what will be your answer??
 
Naungana na mtoa mada, Samaki mkunje angali mbichi.....

kwa nchi zilizoendelea mtoto kusema hana Dini ni kitu cha kawaida sana ila kwa hizi nchi za kishenzi za Dunia ya Tatu ndo watu wanashangaa, acha mabadiliko yaanze huu upuuzi hata mimi kwa mwanangu ni marufuku.
 
Mimi cha kwangu nilikaacha kaende ,kwa sababu kalikua na bibi yake.,ila nilishangaa siku moja kaliniambia dini ina kautapeli , nilishangaa sana😁😁😁
Wa kwangu hakuna anayejua kanisa linafananaje wala Msikiti. Nina majembe yenye Tabia njema, upendo na akili tele.

Unahitaji kuwalisha watotp chakula bora, kuwasomesha na kuwafundisha kufanya kazi kwa bidii kwa vitendo.
Hakika Mbinguni wanaenda.

Malaya, mafisadi, mashoga, wezi na matapeli wanaahidna makanisani na misikitini. Na wengine wanasema kabisa nitalawiti yule then nikaombe msamaha😅😅😅
 
Na hifadhi comment yangu kwa sasa.
 
Mkuu, ningepata mda wa kuishi nao wangekua kama mimi ila binafsi sioni kama ni vibaya watoto wakichangamana na wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…