Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Mwanamke hajui chochote kwamba Video nimesha ipata nabado sijamwambia
 
Bado upo. Usioe kataa ndoa na huyo tafuta goma lingine
 
Bado upo. Usioe kataa ndoa na huyo tafuta goma lingine
 
H
Aliyekutumia hiyo video lazima kuna jambo lunamuumiza labda kwa kumkosa huyo binti au whatever.. sidhani kama ana nia njema kwako..au unadhani anakupenda sana haki akupe taarifa?
Hio haiondoi uhalisia kua demu ni malaya
 
Kama hujaoa shukuru Mungu,jipanguse anza upya
 
Yaani umeshatega mabomu kwenye Akili yako Bomu la kwanza kujua unatyombewer Bomu la pili kuleta hapa jf Ushauli wangu achana na hiyo taka taka ni bora angechepuka ndani ya Ndoa ungeweza kumsamehe ila kabla anakuonyesha rangi yake mapema kama unabisha we Oa huyo Taifa Stars.
 
Wewe unataka nn mkuu??? Ktk swala kama hili kila mmoja atakuwa na mtazamo na maamuzi yake hivyo ningekushauri uzingatie utashi wako zaidi!
 
Wewe ni hopeless kabisa. Unamshaurije mtu aoe Malaya?
 
Vijana mnapotea na ushauri wenu wa kipuuzi. Hivi unadhani kiapo Cha kanisa kinaweza badilisha tabia ya mwanamke akishamuoa ?

Katika kipindi ambacho kuoa bikra ni muhimu, ni kipindi hiki. Maana technology itakuja kukuumbua siku moja ukioa mwanamke Malaya au ambaye keshapitia mahusiano kibao uko nyuma.

Hawa mabinti wanarekodiwa na kupigwa picha za uchi wakifanya mapenzi kwa kutaka wao au kwa kutegeshewa. Just assume ushaoa unakutana na picha chafu za mkeo. Utafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…