Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

I agree. Watu walivyo busy kumshauri. Huyu mtu ataanzisha topic yeyote ya kutunga
 
Upotevu wa pesa tofauti hahusiani na mshahara, huo ni mtaji kapoteza.
Hatujui mzunguko wao mpaka wanalipana hiko kiasi cha mshahara..!!

Hapo wazazi wake wauze shamba walipe gharama, hiyo ni kazi na ni pesa mtu kawekeza..!!

Ingekuwa sheria ziko hivyo mafisadi wanafidia hasara wanazoleta. Nchi ingekuwa mbali sana.

Huyo binti hata ukimpeleka mahakamani hawezi ambiwa arudishe pesa.

Kwanza watatazama kama umefata sheria za ajira kwa huyo binti
 
Hapo jiandae kupewa majibu ya dhihaka na wana jukwaa

Pole sana
 
Kwa kesi ya huyu hawezi kupoteza muda kuja kuongea uongo JF.

Hivi wewe ushawahi kupoteza pesa au unaona mwenzio analeta utani??
Tafuta thread za huyu member uone aina ya mada zake. Hata mimi siamini kama ni kweli tukio limetokea. Hivi hujakutana na watu wenye kuzua uongo bila sababu ya msingi na wala hawapati faida yoyote? Mimi nimeshakutana na waliojifanya walikuwa kwenye ajali zilizoua watu wengi lakini wakapona. Na mind you... siyo matapeli wala hawaombi msaada wowote bali tu wanataka kupewa attention!
 
Kwahiyo unahitaji tukuandikie story nyingine ya kutunga Mkuu. Maana MTU kabla ya kukoment asome thread zako za nyuma kwanza
 
Upotevu wa pesa tofauti hahusiani na mshahara, huo ni mtaji kapoteza.
Hatujui mzunguko wao mpaka wanalipana hiko kiasi cha mshahara..!!

Hapo wazazi wake wauze shamba walipe gharama, hiyo ni kazi na ni pesa mtu kawekeza..!!
Atapata kitu na ni hasara tayari iyo Best
 
Basi atakua mpumbavu km anataka attention..!!
 
Huyu wakala ni mjinga sana
Yawezekana ni yeye kaiba.
Mimi tajiri wangu alikuwa akitaka hela nampelekea mwenyewe nyumbani,ntamkuta mke wake...au ofisi yake nyingine nampelekea huko namkabidhi.

Ikitokea anataka nitumie kwa simu basi najiridhisha kwanza kwa kumpigia
Na namba yake ya miamala ilikuwa inajulikana,na tulitumia wakala mmoja tu.
Sijawahi poteza ata shilingi..
Mtu anatapeliwaje kizembe hivi?
Unatumaje hela bila tahadhari yoyote?
Tena hela ndefu hivyo!
.........
Yale Yale tumeweka mtu dukani
Kala dili na mtu kaja mtu akampa vitu kama vyote..mwenzie anamzuia kuwa usimpe..anasema nampa namjua ni mteja wetu.
Kesho anasema ooh alinichanganya akili siyo mteja wetu.
Upuuzi mtupu..na kazi ameacha.
 
Huyu mcheza kamari mwenzetu hata buku kumi Hana. Mara aje rafiki yake kashinda milioni 58, mara kawekeza M wekeza voda, kesho yake Uzi mwingine anasema haifai kuwekeza M wekeza...... Ili mradi hayupo consistent
 
Kwani kama ulimkataza kutoa simu kwa nini alitoa simu fatilia vizuri kuna uwezekano anahusika na huo upotevu wa hela.

Pia alipokuwa anatuma hizo hela haukupita hata kidogo [ Na yeye ni zoba haswa]

Vipi kuhusu jina wakati anatuma lilikuja jina gani

Mwisho Hii story umetunga ili tukupe reply....¡ kama ni uongo screenshot hio muamala tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…