Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

V/note iliyowekwa, huyo mwanamama mtangazaji hajasema wenye vibali ama hapana, yeye kasema biashara zote za "wakuja" zifungwe period
Umeongelea video.
Moderators hawajaweka voicenote ya Dudula
 
Wanamakalio makubwa na figure za kibantu sijawahi ona ,vishundu haswa
 
Ubaguzi ni asili ya binaadamu
Yan kodi zetu na tozo zetu zitumeke tena kufuata watembezi kuwarudisha nyumban hapana serikal wasijarb
 
Katika watu wasiokuwa na akili wewe unaongoza, katika Taifa lenye wageni wengi South Africa ni Zimbabwe.

Zimbabwe hakukaliki Kwa dhiki iliyosababishwa na Robert Mugabe Kwa kutumia akili kisoda kama wewe.
 
West Africans watajibu mapigo hasa Nigeria
Unajibu vipi hayo mapigo? Unajidanganya nafsi yako au unawadanganya wasiojuwa lolote, Bongo mpo kwenu huwa mnalazwa saa mbili usiku na vitoto vya panya road ndio sembuse unaongelea oparesheni Dundula? Unaijuwa? Umeshawahi kuona maandamano ya wazulu?
 
Mimi na wewe tunaliona hilo.

Lakini serikali yetu sijui kama wanaelewa umuhimu wa kuwarejesha Watanzania waliopo kule
Wangekuweko watoto wao wangeona hilo ila kama hawapo utaambiwa serikali haikuwatuma
 
Pale kuna wazungu Wazawa, hawatambuliki kokote kule duniani zaidi ya Afrika kusini.
 
South Africa wale watu hawafai
 
Mohamed msangi namkubali sana huyu mwamba masela mavi wanapigana visu huko wanauana lakini jamaa hachoki kusimamia shughuli zote za kuwahifadhi maiti na kusafirisha muonekano wake wa upole na usheikh unafanana na matendo yake,sema ananiudhi ni shabiki wa makolo
 
Group yetu wengi walitawanyikia UK wengine Switzerland hasa wazee wanyeupe, pale Golden Acre mall underground ndio tulikuwa foreigner wa kwanza kuthubutu kuchukuwa space to rent na kuweka Salon la kijanja.
Noma sana!! Haya maneno uliyaongeaga miaka kama mitano iliyopita big up kwa kupambana mkuu!! Madogo zangu kina Shukuru wa Sobibor na Kina Mensah Edwards bado wapo Dizonga na wameoa kabisa wazuluzulu hofu yangu wasije wakapigwa matukio na hawa wanawake aisee
 
Unajibu vipi hayo mapigo? Unajidanganya nafsi yako au unawadanganya wasiojuwa lolote, Bongo mpo kwenu huwa mnalazwa saa mbili usiku na vitoto vya panya road ndio sembuse unaongelea oparesheni Dundula? Unaijuwa? Umeshawahi kuona maandamano ya wazulu?

Watajibu mapigo kwenye nchi zao, ndio maana kipindi kile walichoma maduka ya waSA huko Nigeria
 
Mtu yeyote anayeongea kizulu Kwa ufasaha yupo Salama.

Kuna namna ya kuishi kama wao hata kuvaa kama wao.
Ule msemo wa ukienda Roma ishi kama Waroma ndio inabidi uutumie Kwa vitendo ukiwa unaishi na jamii ile.
Kuna mshkaji anaitwa George yeye aliowa wale wazulu wakimbizi kabisa kule morogoro mazimbu, walipopata Uhuru yule mshkaji ni mtanzania lakini waliondoka Nate, anaishi Soweto kabisa Kwa washenzi wa tabia na yuko safe na anauza pombe nyumbani kwake.
 
🤣🤣🤣Unamjua vyema kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…