Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu waje tujenge nchi ya Mwigulu🤣🤣🤣🤣
Katika watu wasiokuwa na akili wewe unaongoza, katika Taifa lenye wageni wengi South Africa ni Zimbabwe.Kinachowatafuna South Africa na kitakachoendelea kuwatafuna zaidi ni kuwaruhusu wakaburu kumiliki Ardhi wakati sio Wazawa.
Asilimia kubwa ya Ardhi inamilikiwa na wakaburu wazawa hawana Uhuru wa nchi yao hivyo basi mkaburu anao uwezo wa kufanya chochote hata kuwalipa mishara midogo na kuajiri watu kutoka mataifa tofauti atakavyo yeye.
Kitakachokuja kutokea ni Waafrika kuumizana wenyewe kwa wenyewe imagine msouth ni muafrika akimpiga mkenya au mtanzania haitasaidia chochote zaidi ya kupoteza uhai wa mwafrika mwenzako tu.
Robert Mugabe alikua anaonekana mbaya lkn alikua sahihi kutetea Ardhi ya Taifa lake lkn kwa mtu mwenye maono ya mbali Wazungu tuishi nao tu kama wawekezaji au watalii lkn suala la kumiliki Ardhi libaki kwa wazawa bado kuna vizazi vijavyo hivi aridhi ikiuzwa kwa wageni unategemea wazawa wataishi wapi? Wanaotamani sana Africaka yetu.
Unajibu vipi hayo mapigo? Unajidanganya nafsi yako au unawadanganya wasiojuwa lolote, Bongo mpo kwenu huwa mnalazwa saa mbili usiku na vitoto vya panya road ndio sembuse unaongelea oparesheni Dundula? Unaijuwa? Umeshawahi kuona maandamano ya wazulu?West Africans watajibu mapigo hasa Nigeria
Wangekuweko watoto wao wangeona hilo ila kama hawapo utaambiwa serikali haikuwatumaMimi na wewe tunaliona hilo.
Lakini serikali yetu sijui kama wanaelewa umuhimu wa kuwarejesha Watanzania waliopo kule
[emoji38]Si tunasemaga SA inathamini sana harakati za Nyerere kwny Vita ya makaburu na kuwapenda wabongo?
Wangese wa DUDULA'Put South Africans first' hawajui hizo story za paukwa pakawa [emoji1][emoji1]
Pale kuna wazungu Wazawa, hawatambuliki kokote kule duniani zaidi ya Afrika kusini.Kinachowatafuna South Africa na kitakachoendelea kuwatafuna zaidi ni kuwaruhusu wakaburu kumiliki Ardhi wakati sio Wazawa.
Asilimia kubwa ya Ardhi inamilikiwa na wakaburu wazawa hawana Uhuru wa nchi yao hivyo basi mkaburu anao uwezo wa kufanya chochote hata kuwalipa mishara midogo na kuajiri watu kutoka mataifa tofauti atakavyo yeye.
Kitakachokuja kutokea ni Waafrika kuumizana wenyewe kwa wenyewe imagine msouth ni muafrika akimpiga mkenya au mtanzania haitasaidia chochote zaidi ya kupoteza uhai wa mwafrika mwenzako tu.
Robert Mugabe alikua anaonekana mbaya lkn alikua sahihi kutetea Ardhi ya Taifa lake lkn kwa mtu mwenye maono ya mbali Wazungu tuishi nao tu kama wawekezaji au watalii lkn suala la kumiliki Ardhi libaki kwa wazawa bado kuna vizazi vijavyo hivi aridhi ikiuzwa kwa wageni unategemea wazawa wataishi wapi? Wanaotamani sana Africaka yetu.
South Africa wale watu hawafaiNimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023.
Nchi zetu hususan Tanzania zinapaswa kuhakikisha usalama kwa raia wao wanaoishi kule kihalali na ikiwezekana kuweka utaratibu wa kuwaondoa raia wake Afrika ya Kusini.
Matishio haya yamekuwa yakifanyika bila hatua zozote kuchukuliwa hivyo inawezekana baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola vya Afrika ya Kusini ni wahusika wa hizi operesheni dhidi ya wageni Afrika Kusini.
Hatulipi ubaya kwa ubaya bali kumtenga mtu mbaya ni sehemu ya kumpa fundisho dhidi ya mtenda ubaya. Ni wakagi sasa wa nchi za SADC kuitenga Afrika ya Kusini na ikiwezekana Umoja wa Africa (AU) kuiwekea vikwazo Afrika Kusini mpaka watakapoondoa vitisho dhidi ya usalama wa wageni ndani ya nchi hiyo.
View attachment 2327764
View attachment 2327204
Mohamed msangi namkubali sana huyu mwamba masela mavi wanapigana visu huko wanauana lakini jamaa hachoki kusimamia shughuli zote za kuwahifadhi maiti na kusafirisha muonekano wake wa upole na usheikh unafanana na matendo yake,sema ananiudhi ni shabiki wa makoloMimi washkaji zangu kibao wako south Africa yaani kwetu ndo mchezo huo.
Na pia nipo kweny group fulani hivi la sailors wanaoishi south africa ila kiukweli hali sio shwali haipiti siku mbili bila ya kutangazwa msiba Kuna kiongozi amejitolewa katika kusimamia watanzania wenzio mungu amlipe anaitwa Mohamed msangi Taliban ...Jamaa daily anatangaza misiba na kuhakikisha wameletwa bongo.
Mwaka Jana tumzika washkaji wawili juzi katia jamaa mmoja anasema wameanza kupigwa search mwanzo mwisho na kipigo hali ni ngumu mno huko sio pazuri.
Noma sana!! Haya maneno uliyaongeaga miaka kama mitano iliyopita big up kwa kupambana mkuu!! Madogo zangu kina Shukuru wa Sobibor na Kina Mensah Edwards bado wapo Dizonga na wameoa kabisa wazuluzulu hofu yangu wasije wakapigwa matukio na hawa wanawake aiseeGroup yetu wengi walitawanyikia UK wengine Switzerland hasa wazee wanyeupe, pale Golden Acre mall underground ndio tulikuwa foreigner wa kwanza kuthubutu kuchukuwa space to rent na kuweka Salon la kijanja.
Unajibu vipi hayo mapigo? Unajidanganya nafsi yako au unawadanganya wasiojuwa lolote, Bongo mpo kwenu huwa mnalazwa saa mbili usiku na vitoto vya panya road ndio sembuse unaongelea oparesheni Dundula? Unaijuwa? Umeshawahi kuona maandamano ya wazulu?
Haina impact yoyote, hayo maduka makubwa yana insurance kubwa.Watajibu mapigo kwenye nchi zao, ndio maana kipindi kile walichoma maduka ya waSA huko Nigeria
Hapo sawasawaHaina impact yoyote, hayo maduka makubwa yana insurance kubwa.
Mtu yeyote anayeongea kizulu Kwa ufasaha yupo Salama.Noma sana!! Haya maneno uliyaongeaga miaka kama mitano iliyopita big up kwa kupambana mkuu!! Madogo zangu kina Shukuru wa Sobibor na Kina Mensah Edwards bado wapo Dizonga na wameoa kabisa wazuluzulu hofu yangu wasije wakapigwa matukio na hawa wanawake aisee
🤣🤣🤣Unamjua vyema kumbeMohamed msangi namkubali sana huyu mwamba masela mavi wanapigana visu huko wanauana lakini jamaa hachoki kusimamia shughuli zote za kuwahifadhi maiti na kusafirisha muonekano wake wa upole na usheikh unafanana na matendo yake,sema ananiudhi ni shabiki wa makolo