generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Hata km aisee sio kwa hali hiiBado tunalipa kwanza Goli la mama
Sio hiyo tuu Dodoma, Mbeya via Iringa,unafika kiuno kama vile kimemeguka!Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi.
Hata hivyo, kuanzia Serengeti, Makutano (Sabasaba) hadi Tarime, barabara iko katika hali nzuri na inapitika vizuri.
Kwa kifupi, ni aibu kwa barabara kuu kama hii kuwa na mashimo kiasi hiki. Hii ni kero kubwa kwa madereva wanaotumia njia hii mara kwa mara. Mamlaka husika, naamini mpo; je, aibu hii hamuioni?
Yani hiyo road kwa dereva mgeni shart utembee chini speed 60 ili kuepukan na ajalKweli Hujapita Miaka Mingi Sana
Kisesa ~Lamadi Shida
HakikaTanzania bado tuna safari ndefu kidogo kufika walio wenzetu kwa sasa.
Tupiako basi kapicha.Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi.
Hata hivyo, kuanzia Serengeti, Makutano (Sabasaba) hadi Tarime, barabara iko katika hali nzuri na inapitika vizuri.
Kwa kifupi, ni aibu kwa barabara kuu kama hii kuwa na mashimo kiasi hiki. Hii ni kero kubwa kwa madereva wanaotumia njia hii mara kwa mara. Mamlaka husika, naamini mpo; je, aibu hii hamuioni?
Kumbe hata ukoSio hiyo tuu Dodoma, Mbeya via Iringa,unafika kiuno kama vile kimemeguka!
😂😂😂Tupiako basi kapicha.
DuuuhPita na mikoa ya kusini(lindi mtwara)barabara ni mashimo tu halafu kunawapuuzi wanaimba mama kainua uchu
Huyu mama kagandisha maendeleo nchi ni kam imesimama
Kumbe tuseme ni kila kona barabara zishajifiaNjoo uione barabara ya Singida-Babati kupitia katesh
Tuliambiwa DP World akikaa pale Mogogoni tutapata mafyeza ya kufa mtu ili kuboresha miundombinu. Ni kama miaka ile tunatoa migodi kwa Mabeberu tulivyoaminishwa kwamba nchi ingeweza kuishi kwa madini tu.Kumbe tuseme ni kila kona barabara zishajifia
hii ndio uchafu kabisa , baada ile ya babati kwenda kondoa kukamilika ni kama hii wameitelekeza kabisaNjoo uione barabara ya Singida-Babati kupitia katesh
Ni upigaji tuTuliambiwa DP World akikaa pale Mogogoni tutapata mafyeza ya kufa mtu ili kuboresha miundombinu. Ni kama miaka ile tunatoa migodi kwa Mabeberu tulivyoaminishwa kwamba nchi ingeweza kuishi kwa madini tu.
Sasa ni barabara zote nchi nzima ndiyo zipo hivyo ,viongozi tuliowakabidhi dhamana ya kusimamia rasilimali zetu ni wala rushwa ,wakandarasi wanajenga chini ya viwango kisha viongozi wanakula 20% ,ndiyo maana unamuona mke wa ulega anatoa zawadi ya Tsh milioni 16 kwa Mama Dayamondi hela hana uchungu nayo.Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔