KERO Nimesafiri toka Mwanza-Musoma kiukweli barabara zetu bado ni changamoto

KERO Nimesafiri toka Mwanza-Musoma kiukweli barabara zetu bado ni changamoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tuache ushabiki Barabara nchini zimechoka zimechoka hapo hujakutana na Mbeya-Tunduma ile barabara kama walishaisahau vile...Serikali tupunguze matumizi ili tujenge barabara zetu..Hata hz ajali tunazoambiwa ni uzembe wa madereva wakati mwingne zinachangiwa na miundombinu mibovu ya barabara.
 
Sasa ni barabara zote nchi nzima ndiyo zipo hivyo ,viongozi tuliowakabidhi dhamana ya kusimamia rasilimali zetu ni wala rushwa ,wakandarasi wanajenga chini ya viwango kisha viongozi wanakula 20% ,ndiyo maana unamuona mke wa ulega anatoa zawadi ya Tsh milioni 16 kwa Mama Dayamondi hela hana uchungu nayo.

Wewe haujuulizi inakuwaje kiongozi wa umma anajenga Jumba la bilioni 3 MBWENI JKT na ana matoys ya mabilioni ya Tsh kwa ujumla kwenye parking hela wanatoa wapi? Kwa mshahara gani? Kumbe ndiyo hiyo wanahongwa pesa kuwalinda wakandarasi kwa mabarabara mabovu yaliyo chini ya kiwango.
Tena awamu hii ndo wanausongo yan wanaporomosha ni majumba tu
 
Tuache ushabiki Barabara nchini zimechoka zimechoka hapo hujakutana na Mbeya-Tunduma ile barabara kama walishaisahau vile...Serikali tupunguze matumizi ili tujenge barabara zetu..Hata hz ajali tunazoambiwa ni uzembe wa madereva wakati mwingne zinachangiwa na miundombinu mibovu ya barabara.
Kinachoboa zaidi ni jins wanavyokusanya kodi kila day... swali hizo cod ni kwaajili yanini mbna mambo meng yamekwama na ni mda sana
 
Anaekuja 2030 ajiandae(kama ni mzalendo) ataachiwa nchi ambayo mtandao wa barabara nchi nzima umeoza. Kama barabara ya Morogoro Dodoma ina mashimo mengi sana unategemea za huko Tarime zikoje? Tumepatikana.
 
Tena mashimo ya maana na sio barabarani tu hata ktk idara zingne kuna marekebisho yataijika kufanyika makubwa ambayo yametokan na awamu tuliyonayo sasa
 
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔

Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi.

Hata hivyo, kuanzia Serengeti, Makutano (Sabasaba) hadi Tarime, barabara iko katika hali nzuri na inapitika vizuri.

Kwa kifupi, ni aibu kwa barabara kuu kama hii kuwa na mashimo kiasi hiki. Hii ni kero kubwa kwa madereva wanaotumia njia hii mara kwa mara. Mamlaka husika, naamini mpo; je, aibu hii hamuioni?
Barabara ni nchi nzima ndg
 
Huyu Rais anatakiwa aachane na miradi mingine km ya viwanja vya ndege, SGR isimame wajenge barabara kuu zote kwanza maana hiyo ndiyo miundo mbinu inayotumiwa na watu wote
 
Anaekuja 2030 ajiandae(kama ni mzalendo) ataachiwa nchi ambayo mtandao wa barabara nchi nzima umeoza. Kama barabara ya Morogoro Dodoma ina mashimo mengi sana unategemea za huko Tarime zikoje? Tumepatikana.
Barabara ni mbovu nchi nzima ,hadi Dar barabara zina mashimo nyingine barabra kuu za TANROAD nazo ni vumbi...inasikitisha sana ,tunazidiwa na kanchi kadogo ka rwanda barabara zao safi ,njia za kwenda kwa miguu ni pavements na garden pembeni.
 
Ila wanavyojisifia utafikiri tuko kama SA EGYPT au Morroco!
Kumbe hamna lolote toka kwao, zaidi ya ufisadi na unanyanyasaji!
 
Igawa to mbeya mjini..ni sawa na mahandaki yale mashimo.
 
Njoo uione barabara ya Singida-Babati kupitia katesh
Hyo ndo funga kaz...nikikumbuka hii januari tuliponea kupatq ajali hapo katesha na gari ya Godfirst..yani barabara ina mashimo ambayo gari ndogo iz ni changamoto kupita...na ilo eneo tuliambiwa wiki mbili mfululizo kuna gari zaid ya 5 zilipata ajali
 
Back
Top Bottom