MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
Tena awamu hii ndo wanausongo yan wanaporomosha ni majumba tuSasa ni barabara zote nchi nzima ndiyo zipo hivyo ,viongozi tuliowakabidhi dhamana ya kusimamia rasilimali zetu ni wala rushwa ,wakandarasi wanajenga chini ya viwango kisha viongozi wanakula 20% ,ndiyo maana unamuona mke wa ulega anatoa zawadi ya Tsh milioni 16 kwa Mama Dayamondi hela hana uchungu nayo.
Wewe haujuulizi inakuwaje kiongozi wa umma anajenga Jumba la bilioni 3 MBWENI JKT na ana matoys ya mabilioni ya Tsh kwa ujumla kwenye parking hela wanatoa wapi? Kwa mshahara gani? Kumbe ndiyo hiyo wanahongwa pesa kuwalinda wakandarasi kwa mabarabara mabovu yaliyo chini ya kiwango.
Bibi Msumi wa Kizimkazi kawaambia wale kwa urefu wa kamba...Bashite anatembelea gari la milioni 800.Tena awamu hii ndo wanausongo yan wanaporomosha ni majumba tu
Kinachoboa zaidi ni jins wanavyokusanya kodi kila day... swali hizo cod ni kwaajili yanini mbna mambo meng yamekwama na ni mda sanaTuache ushabiki Barabara nchini zimechoka zimechoka hapo hujakutana na Mbeya-Tunduma ile barabara kama walishaisahau vile...Serikali tupunguze matumizi ili tujenge barabara zetu..Hata hz ajali tunazoambiwa ni uzembe wa madereva wakati mwingne zinachangiwa na miundombinu mibovu ya barabara.
HatariBibi Msumi wa Kizimkazi kawaambia wale kwa urefu wa kamba...Bashite anatembelea gari la milioni 800.
Tena mashimo ya maana na sio barabarani tu hata ktk idara zingne kuna marekebisho yataijika kufanyika makubwa ambayo yametokan na awamu tuliyonayo sasaAnaekuja 2030 ajiandae(kama ni mzalendo) ataachiwa nchi ambayo mtandao wa barabara nchi nzima umeoza. Kama barabara ya Morogoro Dodoma ina mashimo mengi sana unategemea za huko Tarime zikoje? Tumepatikana.
kabisaKinachoboa zaidi ni jins wanavyokusanya kodi kila day... swali hizo cod ni kwaajili yanini mbna mambo meng yamekwama na ni mda sana
kule Tanganyika ndo hakufai.Ukasafiri pia kutoka Mpanda kwenda Kigoma kupitia Katavi.
Barabara ni nchi nzima ndgNina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi.
Hata hivyo, kuanzia Serengeti, Makutano (Sabasaba) hadi Tarime, barabara iko katika hali nzuri na inapitika vizuri.
Kwa kifupi, ni aibu kwa barabara kuu kama hii kuwa na mashimo kiasi hiki. Hii ni kero kubwa kwa madereva wanaotumia njia hii mara kwa mara. Mamlaka husika, naamini mpo; je, aibu hii hamuioni?
Barabara ni mbovu nchi nzima ,hadi Dar barabara zina mashimo nyingine barabra kuu za TANROAD nazo ni vumbi...inasikitisha sana ,tunazidiwa na kanchi kadogo ka rwanda barabara zao safi ,njia za kwenda kwa miguu ni pavements na garden pembeni.Anaekuja 2030 ajiandae(kama ni mzalendo) ataachiwa nchi ambayo mtandao wa barabara nchi nzima umeoza. Kama barabara ya Morogoro Dodoma ina mashimo mengi sana unategemea za huko Tarime zikoje? Tumepatikana.
Hyo ndo funga kaz...nikikumbuka hii januari tuliponea kupatq ajali hapo katesha na gari ya Godfirst..yani barabara ina mashimo ambayo gari ndogo iz ni changamoto kupita...na ilo eneo tuliambiwa wiki mbili mfululizo kuna gari zaid ya 5 zilipata ajaliNjoo uione barabara ya Singida-Babati kupitia katesh