LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaaam Wakurungwa,

Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi zote nimehudumia na Madingi tu, na Ofisi moja tu nilihudumiwa na mmama.

Sijawahi bahatika kumkuta kijana akishika nafasi ya Uongozi wa Serikali za Mtaa kwa huko nilikopita. Kwanini wana hatushobokei nafasi hizi? Au nyie ndo kama mimi Mzee wa sijihusishi na siasa?
 
Kwasababu hao wazee ni hatari sana kwa uchawi. Ukicgukua form inakuwa INNA LILAH
 
Back
Top Bottom