Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Mkuu nipo serious sana na kampuni tayari na baadhi ya leseni tayari na pia naangalia fursa iliyopo mbele, kutengeneza leseni yeyote siyo ishu maadamu itafanya kazi, so lete tender tu
 
Pamoja sana, nimejifunza kitu hapa
 
Pamoja sana, nimejifunza kitu hapa
Usisite kukaa na waliokutangulia uone jinsi wanavyoandaa hizo proposal coz shida kubwa ni hapo kwenye kuandaa proposal pia unatakiwa utengeneze connection na watu kadhaa wa ndani... maana ushindani huwa ni mkubwa lakini wateule huwa wanajulikana.
 
Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
Ushauri wa bure katafute tenda private sector sio serikalini, ninawajua watu ambao wamesupply bidhaa na huduma serikalini ni miaka sasa imepita kulipwa imekuwa mtihani. Mmojawapo mtaji umekatika na company ipo juu ya mawe. Ila kama ndo wito ulopewa na Mungu haya kila la kheri.
 
Mkuu hongera kwa kufungua kampuni yako ni hatua nzuri, Sasa nakukaribisha katika taasisi ya illuminati kwa lengo la kupanuka zaidi

Uwe na miaka 25 - 45
Mwanamke shupavu / mwanaume rijali
Uwe tayari kutoa sadaka ya mbuzi 5 wakubwa kwa ajili ya kiapo.
Baada ya kujiunga utapewa mtaji wako shilingi bilioni 10 kwa wewe mfanya biashara. Karibu ndugu tuungane pamoja kuleta maendeleo.
 
Mkuu nipo serious sana na kampuni tayari na baadhi ya leseni tayari na pia naangalia fursa iliyopo mbele, kutengeneza leseni yeyote siyo ishu maadamu itafanya kazi, so lete tender tu
Ingia kwenye industry ya tailoring services. Unapiga uniform za hospitality, security, safety kits
 
Yaani sasa hivi sioni sisikii na hizo tenda, yaani hata sijui kuna nini
 
Usisite kukaa na waliokutangulia uone jinsi wanavyoandaa hizo proposal coz shida kubwa ni hapo kwenye kuandaa proposal pia unatakiwa utengeneze connection na watu kadhaa wa ndani... maana ushindani huwa ni mkubwa lakini wateule huwa wanajulikana.
Nitakaa nao ila nimeambiwa kuna wataalamu wanaotayarisha hizi tenda na wanapatikana humo humo kwenye tenda , yaani kwa kweli nimepania kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…