Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Mkuu naomba maekezo zaidi kuhusu hili suala la proprietors na partnerships linafanyikaje
 
Mkuu naomba maekezo zaidi kuhusu hili suala la proprietors na partnerships linafanyikaje
Tenda nyingi za halmashauri naona zinakubali hizo aina za wafanyabashara, sasa sijajua unataka kufahamu kitu gani Mkuu labda ufafanue swali lako kiongozi
 
Tunadai madeni 2023/2024 serikali inadhurumu
 
Yaani mkuu hapa ndio umenichanganya kabisa, hivi kumbe ningepata tenda ya serikali bila kuwa na kampuni?
Kweli nimesumbuka bure muda na pesa
 
Hizi hapa ushindwe wewe tu
Pole humu JF yamejaa mambula tupu na bodaboda wehu
yamepeleka uzi fasta page kadhaa kuongea utumbo tupu




 
Asante, ngoja nichanfamkie hizi tuone itakuweje ingawa nyingi mda umetupa mkono
 
Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi?
Tafadhali sana
Karibuni
1. Hakikisha una comply na sheria kanuni na taratibu, mfano leseni ya biashara, TIN, tax clearance etc

2. Jiunge na mfumo manunuzi wa serikali yaani NeSt kama hujui tafuta kijana anayeweza kukufanyia hiyo kazi na inatakiwa most of the time awe anachungulia tender zilizitangazwa ingawa baada ya kuwa registered na subscribed utakuwa unatapa notifications tender zikitangazwa!

3. Tender nyingine huwa zinatolewa na single source fika ofc husika km inafikika kuweka nazingira.

4. Usiwe na mkono wa birika kwa maafisa manunuzi.
 
Sawa vizuri sana na nikubali kuliwa ili nami nile au sio?
Pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…