Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Dah! kaazi kwelikweli.
Nimecheka kweli
 
Ndio , ni Muumba mbingu , Ardhi vilivyomo na viumbe wote hana mshirika , hafanani na kitu wala kiumbe chochote ndiye muangalizi na muendaeshaji wa ulimwengu wote.
Allah anapenda kuwa lonely,

Kwani wewe unafanana na nani?
 
Wewe unamshangaa profesa,na Mimi nakushangaa wewe.

Fanya marekebisho Yesu sio mungu.

Yohana 5:37

"Naye baba aliyenituma amenishuhudia.Sauti yake hamkuisikia wakati wowote.wala SURA yake hamkuiona ."

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unakuta unaamini na unaona maji ya H2O vitu vitatu unakubali ndio ukamilifu wa maji

Jua lina object , joto na mwanga na unakubali

Ila Mungu akisema Kuna baba mwana na Roho mtakatifu unakataa

Mungu ata aseme amejigwa mara million 5 haibadilishi kitu yeye ni muweza wa yote
 
Qur'an 3:161
Na haiwezekani kwa nabii yeyote kufanya khiyana.na atakayefanya khiyana,atayaleta siku ya kiyama aliyoyafanyia khiyana Kisha kila mtu atalipwa kwa aliyoyachuma,kwa ukamilifu Wala hatodhulumiwa
Qur'an gani unatumia!?
 
Acha kuleta Koran fake, nimekuwekea mpaka tafsir nenda kasome

Aya ilishuka sababu ya Muhammad kuiba chupi nyekundu

Allah badala amtaje mwizi anawachamba waliomwambia Muhammad kaiba
 
Acha kuleta Koran fake, nimekuwekea mpaka tafsir nenda kasome

Aya ilishuka sababu ya Muhammad kuiba chupi nyekundu

Allah badala amtaje mwizi anawachamba waliomwambia Muhammad kaiba
Unahangaika Sana na Qur'an mzee,wewe siyo wa kwanza, hahahaaa uliokota wapi ile Aya!?..pole
 
Unahangaika Sana na Qur'an mzee,wewe siyo wa kwanza, hahahaaa uliokota wapi ile Aya!?..pole
Soma vizuri na soma tafsir ya Kwanini Aya ilishuka kama kingereza hujui sema

Koran 3:161. Haisihi kuwa Nabii yeyote kukhuni katika ngawira kama walivyo eneza kwa uzushi wanaafiki waongo.... Tafsir al-Jalalayn 3:161 When some red velvet cloth went missing on the Day of Badr and some people began to say ‘Perhaps the Prophet took...
 
Pole mzee,tafuta Aya nyingine
 
Muache aseme,wapo atakowasaidia kutoka gizani. Watakaoona ni Sawa kuamini katika Maria pia waendelee kuutumia uhuru wao kuamini hivyo.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Kwanza ndg umeshanipoteza yesu ni binadam ila kristo ni mwana wa mungu?
 
Pole mzee,tafuta Aya nyingine
Pole Sana 😂😂😂😂 ndio hivyo fikiria watu wa karibu na Muhammad wanasema kaiba chupi kutoka kwenye ngawira,

Allah badala aseme nani kaiba yeye anasema Muhammad hajaiba ma kuwachamba waliosema
 
Ufahamu wa Mungu hautegemei ufahamu wa dunia hii. Unaweza ukawa na PhD ya dunia hii lakini ukawa Kindergarten Kwa habari ya Mungu na ufalme wake. Uprofesa sio tija.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
It is not for a prophet to defraud,and whoever defrauds shall bring with him fruits of his fraud on the day of resurrection,when every human being shall be paid in full what he has earned,and shall not be wronged
 
Acha kutumia Koran fake

Embu weka
Asbab al-Nuzul ya verse husika
 
Pole mzee,tafuta Aya nyingine
Kama mtu alikufa na Allah akatoa codes zake za kufufua kwa kupiga na pande la nyama ya ng'ombe 😂😂😂

Alishindwa Nini kumtaja Alie iba chupi kama so Muhammad?

Kwa Musa alipiga na nyama mbichi ya ng'ombe kama wa Hindu

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
kiufupi mme changanyikiwa.hamueleweki🤣🤣🤣 Kuna jinga linaitwa mokiti ndio mfano wawatu wote mlivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…