Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kukuelewa kamwe. Wamedanganywa sana na wamelewa udanganyifu kiasi kwamba KWELI hawaioni tena.Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Iliwekwa na nani na kwa mamlaka ya nani?Kwanza huwa nakushangaeni sana watu wa dizaini yako, huwa mnawashwa wapi kufatilia imani za watu?
Kwani lazima uamini anachoamini mtu mwingine?
Tuache tuendeelee kumheshimu Mama wa Mungu,na kwa taarifa yako tu, TZ iliwekwa chini ya ulinzi wa Mama Bikira Maria.
Atheist ndio nani?
APEDOMIANilidhani unashangaa professa kusali kabisa.
Yani mtu amesoma halafu bado anaamini akifumba macho kuna invisible man hewani huko juu ya mawingu anamsikiliza na atakuja kumsaidia???
Kweli sisi bado tuna unyani fulani ndani yetu.
Ndomaana wanasema DNA ya Binadamu na ya nyani vinapishana 2% tu
Hoja nzuri sana hii, Eliya na Henoko hawakufa kabisa ila hatuwezi kuwataka watuombee, kwanini wa kutuombea wawe wafu ?Kwenye hayo matukio uliyoyataja ni wapi kuna kanuni inayosema mtu aombewe na wafu? Yule tajiri alipojaribu kuomba Abraham amtume Lazaro duniani maombi yake yalikubaliwa? Hukuona akiambiwa wanatakiwa kuwasikiliza waliopo hai duniani akina Musa na manabii? Kwanini nyie mnataka wafu wawaombee wakati hata hapo inaonesha maombi ya wafu hayasikilizwi?
Wewe tukana ila ni Mali ya uiziUnakwepa kusema ngawira ni Mali zinazopatikana baada ya kushinda Vita siyo ili neno lako 'ujambazi' liwepo!!?..we ni mcenge,itakua wamekuphila Sana mkesha wa xmass na mwaka mpya Kama walivyomphila fundi seremala wa galilaya mkesha wa kusulubiwa
Chupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kwareWewe tukana ila ni Mali ya uizi
Na gang member wa muhammad walikuwa mpaka wanamwambia wakikusanya anaziiba
Kumbuka ile verse alishusha akasema hajaiba ila hakumtaja mwizi ni nani
Kilichoibiwa walivyo kusanya ni chupi nyekundu
Asante kwa kumpa taarifaKwanza huwa nakushangaeni sana watu wa dizaini yako, huwa mnawashwa wapi kufatilia imani za watu?
Kwani lazima uamini anachoamini mtu mwingine?
Tuache tuendeelee kumheshimu Mama wa Mungu,na kwa taarifa yako tu, TZ iliwekwa chini ya ulinzi wa Mama Bikira Maria.
With references, ebu taja mitume waliowahi kutumia Biblia iliyokamilika.Sasa ulichoandika hapa ndio agizo kwamba muwe mnamwambia Maria awaombee? Mbona unaandika vitu dhaifu namna hii?
Biblia ilikuwa imeshakamilika tangu enzi za mitume na ikaja kuwa compiled na Jarome 382 AD. Wakatoliki waliongeza hivyo vitabu miaka ya 1500s AD baada ya kushindwa kujibu hoja za Luther.
Isome imani yako badala ya kukurupuka.
Vita gani bro..!!? ,uzi umeanzishwa na mchungaji mimi nimesindikizia picha tu maana Wana Jf wana nongwa uzi ukikosa picha.hii vita utaweza kuhimili brother..!!!?
Yaani kuna vituko sana humu JamiiForums!Unavizia mji au Kijiji unakivamia unauwa watu unachukua Mali zao zote , ndio inaitwa ngawira
Kumbuka hii verse ilishuka baada ya gang member wa muhammad kuhoji Mali kwa Nini anazichukua ndio akashusha verse akasema anagawana na mungu wake nusu kwa nusu
Siwezi kukujibu kwa vile huu sio uzi wake ,anzisha uzi wako kuhusiana na hilo maana mimi sitaki nitoke nje ya mstari wa uzi .Allah ndie aliwaaminisha watu masanamu yanakaa kwenye nyumba za ibada, akabadili masanamu mpaka sasa amebakiwa na li moja lipo Maka
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Chupi ni wazi na verse ipo , Allah anatakiwa kuwa mungu ila kashindwa kumtaja alieiba chupi nyekunduChupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kware
Biblia imekamilika kuandikwa around AD 90 ila haikuwa imekusanywa pamoja. Kwahiyo kimsingi kila lililopo kwenye biblia leo lilikuwa limeshaandikwa wakati mtume Yohana anakufa. Akina Jerome walikuja kukusanya zile nyaraka na injili kisha wakaziunganisha na agano la kale.With references, ebu taja mitume waliowahi kutumia Biblia iliyokamilika.
Unatokaje nje wakati wewe ndie umeweka sanamu , nenda kafute kama haviendani na UziSiwezi kukujibu kwa vile huu sio uzi wake ,anzisha uzi wako kuhusiana na hilo maana mimi sitaki nitoke nje ya mstari wa uzi .
#AhsanteKwaKushiriki..
We jamaa kiazi sana,unashangaa wakatoliki kuomba bikira Maria awaombee hushangai wanaoenda kawe kwa Mwamposa akawaombee? Si ufanye unavyoona wewe ni sawa?Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.
Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.
Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?
Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.
Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.
Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Mbona Biblia iko wazi kuhusu mapenzi ya MunguNimetunga na ninaimba wimbo wa MAMA MARIA MAMA WA YESU UTUOMBEE.
Huku duniani tupo tu ila hatuyajui mapenzi ya Mingu yako kwenye nini
Ila alieandika Koran 😂😂😂 Allah anawachamba watu balaa 😂😂😂Chupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kware