Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Waacheni imani zipo kibao na huwezi badili mtu anaeamini kitu fulani kwa kuangalia elimu au wadhifa wake
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Hawawezi kukuelewa kamwe. Wamedanganywa sana na wamelewa udanganyifu kiasi kwamba KWELI hawaioni tena.
 
Kwanza huwa nakushangaeni sana watu wa dizaini yako, huwa mnawashwa wapi kufatilia imani za watu?
Kwani lazima uamini anachoamini mtu mwingine?
Tuache tuendeelee kumheshimu Mama wa Mungu,na kwa taarifa yako tu, TZ iliwekwa chini ya ulinzi wa Mama Bikira Maria.
Iliwekwa na nani na kwa mamlaka ya nani?
 
Nilidhani unashangaa professa kusali kabisa.

Yani mtu amesoma halafu bado anaamini akifumba macho kuna invisible man hewani huko juu ya mawingu anamsikiliza na atakuja kumsaidia???

Kweli sisi bado tuna unyani fulani ndani yetu.
Ndomaana wanasema DNA ya Binadamu na ya nyani vinapishana 2% tu
APEDOMIA
 
Kwenye hayo matukio uliyoyataja ni wapi kuna kanuni inayosema mtu aombewe na wafu? Yule tajiri alipojaribu kuomba Abraham amtume Lazaro duniani maombi yake yalikubaliwa? Hukuona akiambiwa wanatakiwa kuwasikiliza waliopo hai duniani akina Musa na manabii? Kwanini nyie mnataka wafu wawaombee wakati hata hapo inaonesha maombi ya wafu hayasikilizwi?
Hoja nzuri sana hii, Eliya na Henoko hawakufa kabisa ila hatuwezi kuwataka watuombee, kwanini wa kutuombea wawe wafu ?

Wakutuombea kwa Mungu tunaposhindwa kuomba ni mmoja tu..

Warumi 8:26 "kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, Lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa"

MTAZAMO zitto junior
 
Unakwepa kusema ngawira ni Mali zinazopatikana baada ya kushinda Vita siyo ili neno lako 'ujambazi' liwepo!!?..we ni mcenge,itakua wamekuphila Sana mkesha wa xmass na mwaka mpya Kama walivyomphila fundi seremala wa galilaya mkesha wa kusulubiwa
Wewe tukana ila ni Mali ya uizi

Na gang member wa muhammad walikuwa mpaka wanamwambia wakikusanya anaziiba

Kumbuka ile verse alishusha akasema hajaiba ila hakumtaja mwizi ni nani

Kilichoibiwa walivyo kusanya ni chupi nyekundu
 
Chupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kware
 
Kwanza huwa nakushangaeni sana watu wa dizaini yako, huwa mnawashwa wapi kufatilia imani za watu?
Kwani lazima uamini anachoamini mtu mwingine?
Tuache tuendeelee kumheshimu Mama wa Mungu,na kwa taarifa yako tu, TZ iliwekwa chini ya ulinzi wa Mama Bikira Maria.
Asante kwa kumpa taarifa
 
Sasa ulichoandika hapa ndio agizo kwamba muwe mnamwambia Maria awaombee? Mbona unaandika vitu dhaifu namna hii?

Biblia ilikuwa imeshakamilika tangu enzi za mitume
na ikaja kuwa compiled na Jarome 382 AD. Wakatoliki waliongeza hivyo vitabu miaka ya 1500s AD baada ya kushindwa kujibu hoja za Luther.

Isome imani yako badala ya kukurupuka.
With references, ebu taja mitume waliowahi kutumia Biblia iliyokamilika.
 
hii vita utaweza kuhimili brother..!!!?
Vita gani bro..!!? ,uzi umeanzishwa na mchungaji mimi nimesindikizia picha tu maana Wana Jf wana nongwa uzi ukikosa picha.
 
Unavizia mji au Kijiji unakivamia unauwa watu unachukua Mali zao zote , ndio inaitwa ngawira

Kumbuka hii verse ilishuka baada ya gang member wa muhammad kuhoji Mali kwa Nini anazichukua ndio akashusha verse akasema anagawana na mungu wake nusu kwa nusu
Yaani kuna vituko sana humu JamiiForums!
 
Allah ndie aliwaaminisha watu masanamu yanakaa kwenye nyumba za ibada, akabadili masanamu mpaka sasa amebakiwa na li moja lipo Maka

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Siwezi kukujibu kwa vile huu sio uzi wake ,anzisha uzi wako kuhusiana na hilo maana mimi sitaki nitoke nje ya mstari wa uzi .

#AhsanteKwaKushiriki..
 
Chupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kware
Chupi ni wazi na verse ipo , Allah anatakiwa kuwa mungu ila kashindwa kumtaja alieiba chupi nyekundu

Koran 3:161. Haisihi kuwa Nabii yeyote kukhuni katika ngawira kama walivyo eneza kwa uzushi wanaafiki waongo.... Tafsir al-Jalalayn 3:161 When some red velvet cloth went missing on the Day of Badr and some people began to say ‘Perhaps the Prophet took...
 
With references, ebu taja mitume waliowahi kutumia Biblia iliyokamilika.
Biblia imekamilika kuandikwa around AD 90 ila haikuwa imekusanywa pamoja. Kwahiyo kimsingi kila lililopo kwenye biblia leo lilikuwa limeshaandikwa wakati mtume Yohana anakufa. Akina Jerome walikuja kukusanya zile nyaraka na injili kisha wakaziunganisha na agano la kale.
 
Siwezi kukujibu kwa vile huu sio uzi wake ,anzisha uzi wako kuhusiana na hilo maana mimi sitaki nitoke nje ya mstari wa uzi .

#AhsanteKwaKushiriki..
Unatokaje nje wakati wewe ndie umeweka sanamu , nenda kafute kama haviendani na Uzi

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
We jamaa kiazi sana,unashangaa wakatoliki kuomba bikira Maria awaombee hushangai wanaoenda kawe kwa Mwamposa akawaombee? Si ufanye unavyoona wewe ni sawa?
 
Nimetunga na ninaimba wimbo wa MAMA MARIA MAMA WA YESU UTUOMBEE.

Huku duniani tupo tu ila hatuyajui mapenzi ya Mingu yako kwenye nini
Mbona Biblia iko wazi kuhusu mapenzi ya Mungu

Na hakuna atakaye uona ufalme wa Mungu ila yule tu afanyaye mapenzi ya Mungu.
 
Chupi alivuliwa fundi seremala wa galilaya,akavikwa nepi akatundikwa Kama kware
Ila alieandika Koran 😂😂😂 Allah anawachamba watu balaa 😂😂😂

Chupi imepotea wafuasi wa muhammad wanasema Muhammad kaiba , badala Allah amtaje Alie iba ana wachamba tu

Back
Top Bottom