Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Mfano, kwa wakristo hata akitokea mjinga na mpumbavu mmoja wa imani na dini yoyote akaweka kiti chake juu ya mlima Kilimanjaro na vipaza sauti vyake na kuanza kumtukana Mungu ama Yesu Kristo mchana kutwa na usiku kucha , nakuhakikishia hakuna mkristo yeyote atakayemjali mjinga na mpumbavu huyu kwa sababu maneno au matusi yake hayabadili au kupunguza ama kuongeza chochote katika imani yao....

Ndugu unakumbuka chanzo cha mauaji ya Mwembechai wakati wa Urais wa Benjamin Mkapa?
 
Una msongo wa mawazo

Hii ni stress mbaya sana

Mpaka Leo umekuwa mtu mzima bado unaandika kama mtoto wa chekechea

Hakika una msongo wa mawazo
Yamekuingia. Ndii ndi ndi. Uki beep tunapiga, hutugeuzi la pili. Kumbuka hilo.

"Msongo" wangu mimi, wewe uumwe, makubwa haya!
 
Bibi yetu babu hakukufikishi udzungwa nini mbona kidomodomo sana?
Huwa unamuuliza na mama yako swali kama hilo?
Kwa sababu dalili kubwa ya uanaharamu ni hata akiingizwa kwenye pipa atatoa kidole.
 
Pamoja na matusi mengi, mtoa uzi siyo mkristo. Hapo vip!!
 
Wewe Ni mkatoliki feki.Wakatoriki hawakurupuki, hawatukani na si wabishi katika mambo yanayogusa imani ya mtu
 
Yamekuingia. Ndii ndi ndi. Uki beep tunapiga, hutugeuzi la pili. Kumbuka hilo.

"Msongo" wangu mimi, wewe uumwe, makubwa haya!
Huyu Mufti ni kilaza, mnafiki na zandiki, kama yule dalali ,Mbowe Hana kosa alilofanya likathibitika, FAM anatakiwa kurudishiwa haki yake ya Uhuru bila masharti, Hii yakusema eti wakirudia,wakirudia kufanya nini,upuuzi mtupu!
 

Sheikh Zuberi alichosema tofauti na wenziwe:

 
Ujuha huo umeanza. Wala sikushangai, nilitegemea mtakuja wengi tu mlioenda kusomeshwa ujinga na kina Father Kit Cunningham.
Huyu Mufti amekosa adabu !! Eti wakirudia hilo kosa tena ndio uwachukulie hatua! Kwani Samia ni Mahakama? Huyu Mufti ashatumika!!

Wale mashehe na maustaadhi wa uamsho waliteseka miaka 8 ndani huyu alikaa kimya tuli kama anafinya ubwabwa!! Kuna mashehe kibao bado ndani!! Kuna 22,000 mahabusu bila dhamana miaka 2 hadi 6!! Eti mama waonee huruma, what a F**!
 
Hiyo principle mbona ipo wazi? Unawezaje kusoma hiki ni Kizuri kama hakuna kibaya? Au hichi kikubwa pasipo kulinganisha na kilicho kidogo? Ukisema huyu ni mweupe sn ni lazima umemlinganisha na aliye mweusi.

Kwa kupitia ulinganifu ndio utaona kwa uwazi uzuri na ubaya wa vitu. Rejea topic ya superative and comparative ya drs 4.
 
Kama iko hivyo kwa nini viongozi wa dini wakamwambie Rais? Mahakama ndiyo inashughulikia kesi, anatakiwa ajitetee, lakini kabla hajajitetea yanazuka mambo haya ya kipuuzi toka kwa wapuuzi.
Kama Mbowe ana kesi ya kujibu, kwa nini watu wasitulie akajibu?
Endapo majibu yake yatakosa mantiki mahakama itamfunga, akijibu vizuri mahakama itamwachia.
Huu upuuzi wa watu kujidai Wana huruma na Mbowe unatokana na siasa za kijinga zilizopo Tanzania.
Hata Raisi kuwasikiliza mpaka mwisho na kuondoka bila kusema chochote ni upuuzi mwingine, maana huko nyuma alishasema mahakama iachiwe. Kwa nini sasa bado anasikiliza upuuzi na kuacha uendelee?
Tunataka utetezi ufanywe, mbivu na mbichi zijulikane!!!!!!!
 
Kwani elimu ya mufti wa Tanzania ni kiwango gani?
Maana nijuavyo mtu hana uelewa na yale yalio nje yake ya uelewa.
Sana sana akijitahidi ataiahia kuamini tu bila kujisumbua kuhoji.
Umeongea point sn
 
Msameheni kwani aliandaliwa kumbuka kwa Zitto na aliandaliwa ikabuma kwani waje kwa njia nyingine ili isizidi kumwingiza mtu ktk tope.
Kwani anatakiwa atoke kabla Lisu hajaja ili vuguvugu lisiwe kubwa ndo hapo tunamtoaje Mwamba kwa hiyo hii njia raisi kwao
 
Basi angesema, wasamehe na wakirudia tena endelea kusamehe". Sawa sawa?
 
Huyu Mufti ni kilaza, mnafiki na zandiki, kama yule dalali ,Mbowe Hana kosa alilofanya likathibitika, FAM anatakiwa kurudishiwa haki yake ya Uhuru bila masharti, Hii yakusema eti wakirudia,wakirudia kufanya nini,upuuzi mtupu!
Tunaiachia mahakama. Mufti ndio kishasema yake. Lissu alisema nini alipokutana na Mama Samia Ubelgiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…