Mfano, kwa wakristo hata akitokea mjinga na mpumbavu mmoja wa imani na dini yoyote akaweka kiti chake juu ya mlima Kilimanjaro na vipaza sauti vyake na kuanza kumtukana Mungu ama Yesu Kristo mchana kutwa na usiku kucha , nakuhakikishia hakuna mkristo yeyote atakayemjali mjinga na mpumbavu huyu kwa sababu maneno au matusi yake hayabadili au kupunguza ama kuongeza chochote katika imani yao....Angalia coment ya sesten zakazaka hata mtoa maada akiisoma atajiona kaachwa uchi na anaweza kufuta andiko lake akaja na maada mpya kurekebisha alipo kosea ila wewe unahamisha mjadala na kuvuruga kuvuraga kabisa Hongera sana zakazaka. Prof koboko kwenye kuandika au kuongea unaweza ukapoteza maana ya kila kitu ulichokusudia kwa kuweka neno moja tu. Kuna watu hawana elimu ila wana ushauri wa kiwango cha juu kuna watu wana elimu ya mdrasa ila wana upeo wa kiwango cha juu and the vise vesa is true kuna ma profesor ila upeo zero na wengi tumewashuhudia. Heshim elimu za watu heshimu upeo dini za watu.
Ndugu unakumbuka chanzo cha mauaji ya Mwembechai wakati wa Urais wa Benjamin Mkapa?