Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Hizi ni sera na sheria za nchi kulinda viwanda vya ndani, unless na Sheria tubadilishe.Tunalinda viwanda vya ndani vyenye uwezo mdogo kwa gharama kubwa sana na kwa kubebesha mzigo wananchi. Sukari ikiingia kutoka Brazil bei yake haitazidi TSH. 1800, ukilinganisha na bei ya sasa ya TSH 2600 hii si kulinda viwanda vya ndani bali ni rushwa. Mambo ya monopoly yalishaisha zamani! Kwanini tunalinda viwanda vya sukari tu na vingine vinashindana na vya nje kama kawaida. Natamani kujua viwanda vya sukari vinamilikiwa na nani maana vilibinafsishwa.
Pia hapo tusiishie tu kwenye sukari,Bali kila biadhaa iruhusiwe kuingia kwa wingi. Lakini tuwe tayari kwa athari za kuanguka uchumi, nadhani unaelewa athari za nchi kununua sana nje kuliko kuuza nje