Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tamaa zimewatawalasana hawa watuAibu kwa wasomi wa kitanzania kupenda siasa kuliko taaluma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamaa zimewatawalasana hawa watuAibu kwa wasomi wa kitanzania kupenda siasa kuliko taaluma.
Na bado mpaka 2025 ifike watanyoka tuMchuma majanga
Upuuzi ndio Nonsense wewe Lumumba FCAcha upuuzi
Nani lumumba we mpuuzi?Upuuzi ndio Nonsense wewe Lumumba FC
Wacha namba zisomekeNa bado mpaka 2025 ifike watanyoka tu
Ukishajijibu swali la “kwanini hawakung’oka mwaka 2020 (au 2010 na 2015 for that matter...) utaelewa kwanini hawatang’oka mwaka 2025Mwaka 2025 ndio wakati muafaka kuwaondoa CCM chama kinachonuka ufisadi kila kona.
Miaka yote nchini Tanzania kunakuwa na upungufu wa sukari, na lazima serikali inaagiza sukari nje ya nchi suala la waziri kusema hadharini kwamba hatotoa vibali wakati anajua lazima serikali itaagiza nje sio sahihi. Na pia kabla ya kusema hayo, walau angepata ushauri kutokana kwa kiongozi wa nchi, lile ni suala la diplomasia pia, sio biashara tu.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Ndipo matatizo yanakoanzia
Laana ya uchaguziWacha namba zisomeke
Laana ya uchaguzi. Je Mkemda jimbo lake alishinda au alipita kimagumashi?Ndo ubaya wa kuwapa Makatibu Muhtasi kuongoza nchi. Mara nyingi huwa hawana kifua. Ona sasa! Ungaunga mwana eti anaita maamzi ya Prof Nonsense kweli Madaraka yamekaa juu ya mabega sasa.
Waziri mkuu aliambiwa nini, weka hapa maneno aliyoambiwa unayoita udhalilishaji tulinganishe.Hivi wakati wa tumbua tumbua ulikuwa umezaliwa?
Wakati waziri mkuu anadhalilishwa kwenye kikao chake mwenyewe na wafanyabiashara ya korosho ulikuwa hospital?
Mwacheni mama afanye kazi , acheni chokochoko za kipuuzi!
NonsenseSISI KAMA CCM TUNATAKA WENZETU WAPIGAJI NA SIYO WAZARENDO, NDO MAANA HATA MAGUFURI TULIMUCHUKIA KWANI ALIENDEKEZA UZALENDO KULIKO KUTURUHUSU TUPIGE WAKATI TULIMUSAIDIA
Maskini wengi Tz ni wakulima kwa kukosa soko la mazao yao. Uwepo wa viwanda unaongeza soko la mazao ya wakulima. Kitendo cha kuagiza sukari kutoka Uganda, kwa mfano, wakati viwanda vyetu vinapanuka ni kuua kilimo cha miwa na kuathiri wakulima.Mkuu!
Magufuli hakuzuia sukari toka nje kwa sababu ya roho mbaya hapana.
Alisema kabisa tuna mashambe mengi tuzalishe sukari yetu hapa hapa nchini na kufaidisha viwanda vyetu vya ndani.
Yule mzee aliambulia matusi toka wapumbavu badala ya kutumia fursa hiyo kuongeza uzalishaji ili kuinua vipato na kuongeza ajira.!
Kila siku huwa nasema hapa kwamba kumpigania mpumbavu malipo yake ni upumbavu!
Ona sasa tunaenda kuwa dampo la sukari toka uganda!
Nmeona uzi hapa jana mtu anashauri Samia aruhusu cement toka Kenya, na usishangae na yeye akafanya hivyo.
Waziri amesema anazuia uagizaji kama hakuna upungufu ili kulinda viwanda vyetu na soko la mazao (km kilimo, mifugo na uvuvi). Lakini Rais kamdharilisha kinyume na Ilani ya CCM, 2020 iliyokiingiza madarakani.Bukoba mfuko wa sementi ya ni TZS 24,000, inahitajika sana, inatafutwa sana, haipatikani!.
Sementi ikiingizwa kutoka Kenya mfuko ni TZS 12,000!.
Kama tuna upungufu, why not?.
P
Mkuu mwengeso , usemayo ni kweli, Waziri is right, hatuagizi bidhaa kama hakuna upungufu. Tanzania tuna upungufu wa sukari na upungufu wa sementi, hivyo japo siungi mkono matumizi ya neno nonsense, lakini Rais Sa100 is right kuruhusu sukari ya Uganda kuingia nchini kupunguza nakisi ya sukari. sasa bado kuruhusu cement ya Kenya, kuingia nchini kukabiliana na upungufu uliopo.Waziri amesema anazuia uagizaji kama hakuna upungufu ili kulinda viwanda vyetu na soko la mazao (km kilimo, mifugo na uvuvi). Lakini Rais kamdharilisha kinyume na Ilani ya CCM, 2020 iliyokiingiza madarakani.
Sawa Ila huwezi kumwita waziri wako nonsense! Km Kuna uhaba si ndiyo inaagizwa.Bado Kuna uhaba ndo Mana sukari inapanda bei ovyo, mpaka 3200