Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

1. Kila siku kabla ya kulala muwe na Ibada ya familia Kwa Mungu wenu.
2.usiruhusu mke wako ajiunge vikoba.
3.usiruhusu mke wako akuzidi pesa..kama anafanya kazi yenye kipato kikubwa kuliko wewe mfanyie sabotage ya maana ashushwe cheo au afukuzww..na kama ana biashara kubwa kukuzidi akupe umiliki kama hataki mhujumu mpaka afilisike awe mama wa nyumban.
 
Zawadi ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya Ndoa.

Ukikosa zawadi ya laki 1 mpelekee hata Ice cream ya Barhessa.

Huwa inasaidia sana kumfanya mwenza wako kuwa na furaha
Luca Graham-- 7 years
Once i was 11 years old, my daddy told me.
Go and get yourself a wife, or you'll be lonely
jina lako inanikumbushaga sana huo wimbo wa huyo luca
 
Hebu tumuone huyo mke tukushauri kulingana na mwonekano wake
 
Rule namba moja: MKE HAPIGWI

Rule namba benga: MKE SIYO PUNCHING BAG

Rule ya mwanaTatu: MKE HAZABULIWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ