Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 461
- 915
Umesoma vizuri ukaelewa au umekurupuka kujibu?We jamaa bhana aliyekwambia betting wanagawa hela za bure ninani? ,,, Ofa yetote lazima iambatane na masharti kama hutaki bonasi nibora usikubali ukikubali bonasi nilazima utimize masharti yote mfano kuna bonasi mpaka uibetie mara nne ndio uruhiswe kutoa . Hakuna hela za bure kwenye betting bwana mdogo. Hizo bonasi zinawekwa kuvuta wateja lakini zina masharti magumu kuna kampuni zinatoa bonasi hadi milion 4 ila kuipata nimapaka utimize hivyo vigezo vigumu walivyoweka. Ksma huna hela ya kubeti nibora upumzike kubeti kuliko kutegemea bonasi
Tulifata masharti ndiyo maana tulishinda na hela zikatoka kwa watu wa mwanzo badae walivyoona wanachotoa ni zaidi ya wanachopata wakaanza kuzuia hela kutoka na wakafutilia mbali kabisa kuanzia ushindi mpaka ofa yenyewe.