DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Halafu hapo utakuta ni fala aliyeshindwa ku login ,, embu serch sportpesa ni matapeli kama hutakuta? Au spotybet au betpawa wanafuta mikeka yote utakakuta kwasababu watu wengi wanaobeti hasa waliopoteza kuna mda akili zinachanganyikiwa😂 au serch 1xbet ni matapeli lazima utakuta kwahiyo hoja yako haina mashiko
Halafu mbona iko wazi kampuni uchwara zinajulikana
Ndiyo maana ukiuliza watu wanaobeti kuhusu kampuni zinazoaminika huwezi kukuta kuna mtu hata mmoja kataja hiyo kampuni yako uchwara .
Watakutajia
1. BetPawa
2. Betway
3. Sportybet
4. Sportpesa
5. Premierbet
 
Tena wa nataka nipige picha nikiwa nimeshika passport na kuandika tarehe ya Leo na niweke proof kama hio namba ni ya kwangu kumbuka niko nje sina ile ID YA hii nchi sikuweza kusajili line kwa jina langu
Kyc ndivyo ilivyo kwa masuala ya pesa... Nimefanya hivyo wise, payoneer, skrill hata wakidetect nimeingia kutoka new location nalirudia zoezi
 
Ndio , humu hakukosi mwanasheria na hata akizingatia ushauri aliopewa nilazima atatafuta mwanasheria na pia hii ni kesi yenye maslahi so nilazima atafanya hivyo . Tusubiri update
Yeah na hili ndiyo jawabu muhimu kuliko makisio uliyokuwa unakuja nayo wewe .Ndiyo maana nikasema "hoja zako ni sahihi kwenye muktadha usio sahihi"
 
Kukua ukiwa na maana gani au tupe mfano wa kampuni iliyoanza chini ikakua kwenye betting au labda unajua Gross profit yao?
Iko wazi mbona ,Unadhani hiyo kampuni watumiaji wake wanaweza fikia hata robo ya watumiaji wa betpawa nchini?
Ziko wapi m-bet ,sokabet ,meridianbet?
 
Yeah na hili ndiyo jawabu muhimu kuliko makisio uliyokuwa unakuja nayo wewe .Ndiyo maana nikasema "hoja zako ni sahihi kwenye muktadha usio sahihi"
Sio sahihi kivipi? ,, mtoto mada kasema wameshindwa kumlipa. Mimi nikasema huo sio utetezi huwezi toa hoja kuwa kampuni imeshindwa kukulipa ukaeleweka. Mikeka yote wanayoruhusu maana yake wanaweza kukulipa , Hata ikitokea maximum win umeshinda bilion nilazima ulipwe. Kwahiyo hiyo sio sababu ya msingi. Nikasema kuna sababu zinazoweza kuzuia usilipwe. 1. Fixmatches, error kwenye mfumo au ikatokea wamehitaji kyc ukashindwa kutuma ,, sasa kama sababu ni hizi huwezi kulipwa. Lakini kama sababu nikuwa wameshindwa kukulipa hiyo sio sababu ya msingi wanatakiwa wakulipw hata kwa kushurutishwa. Sasa wewe hujaona msingi wa hoja yangu vipi
 
Iko wazi mbona ,Unadhani hiyo kampuni watumiaji wake wanaweza fikia hata robo ya watumiaji wa betpawa nchini?
Ziko wapi m-bet ,sokabet ,meridianbet?
Usiulize maswali jibu swali unaloulizwa. Betpawa kwanza haikuanzia chini ikakua yenyewe iliingia kwenye soko na kuwa populae moja kwa moja. Kuhusu meridianbet naifahamu ni kampuni kongwe na ni kampuni top 5 katika kampuni kubwa nchini. Kuhusu m-bet ilishafunga huduma zake nchini na wawekezaji wake wanaandaa project mpya itaingia nchini soon ya kubeti mteja kwa mteja,, sokabet nayo ipo top 10 katika kampuni kubwa za betting tanzania
 
Sio sahihi kivipi? ,, mtoto mada kasema wameshindwa kumlipa. Mimi nikasema huo sio utetezi huwezi toa hoja kuwa kampuni imeshindwa kukulipa ukaeleweka. Mikeka yote wanayoruhusu maana yake wanaweza kukulipa , Hata ikitokea maximum win umeshinda bilion nilazima ulipwe. Kwahiyo hiyo sio sababu ya msingi. Nikasema kuna sababu zinazoweza kuzuia usilipwe. 1. Fixmatches, error kwenye mfumo au ikatokea wamehitaji kyc ukashindwa kutuma ,, sasa kama sababu ni hizi huwezi kulipwa. Lakini kama sababu nikuwa wameshindwa kukulipa hiyo sio sababu ya msingi wanatakiwa wakulipw hata kwa kushurutishwa. Sasa wewe hujaona msingi wa hoja yangu vipi
Msingi wa hoja yako sio sahihi kwa mtoa mada kwa sababu wewe ulikimbilia kumuattack badala ya kuangalia muktadha upande wake upoje

Muktadha kwake ashasema walikubali kumlipa lakini kwa kiwango pungufu bila sababu za msingi ambacho kwake bado anaona sio sahihi, huoni kama mpaka tayari hoja zako zinakosa nguvu?

Akasema " Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo,"
Kanuni gani ,imetumika hapo?
Huoni kuna viashiria vya wizi?
Point ya pili hoja yako kukosa mashiko

Tunakuja tena akasema
"Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi "
Kwa nini walikubali kumlipa means hoja zake zilionekana ziko sahihi mbele ya board ,lakini je kwa nini haikuandikwa kwenye maandishi? Unapata viashiria kuwa bado na kampuni shtakiwa kuna kitu walikubaliana behind the door.
Na kwa nini wakubali kumlipa miliion 3?

Kwa nini point yako dhaifu ,point ya 4
Akasema
" kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, "
Kwa nini wambembeleza kushusha kiwango cha ushindi kwenye ushindi unaoutilia mashaka?

Point ya 5
Akasema
"Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano."
Mpaka bodi (TGB) wanafikia stage hii wao kwamba muda wote huo hawakuona viashiria unavyodai wewe vya upangaji wa matokeo na kufuta shauri?

Inshort HOJA ZAKO ZINA MADHAIFU MENGI SANA em tubishane kwa hoja
 
Udogo wa kampuni unapima na nini kwamba kuna kampuni inaanza biashara bila kuwa na mtaji hitajika ? Kuna vigezo kwanz nilazima uwe na mtaji kiasi kadhaa ndio usajiliwe pili . Kila kampuni ina kiwango maximum chakulipa na hawataruhusu ushinde zaidi ya hicho kiwango ,, hivyo kama wamwkubali wewe kustake maana yake wana uwezo wa kukulipa kama utashinda
Unachosema ni sahihi, sasa kwa nini wamsumbue? Kama 27m imekuwa tatizo je ikitokea mtu akashinda 100m itakuwaje?
 
Msingi wa hoja yako sio sahihi kwa mtoa mada kwa sababu wewe ulikimbilia kumuattack badala ya kuangalia muktadha upande wake upoje

Muktadha kwake ashasema walikubali kumlipa lakini kwa kiwango pungufu bila sababu za msingi ambacho kwake bado anaona sio sahihi, huoni kama mpaka tayari hoja zako zinakosa nguvu?

Akasema " Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo,"
Kanuni gani ,imetumika hapo?
Huoni kuna viashiria vya wizi?
Point ya pili hoja yako kukosa mashiko

Tunakuja tena akasema
"Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi "
Kwa nini walikubali kumlipa means hoja zake zilionekana ziko sahihi mbele ya board ,lakini je kwa nini haikuandikwa kwenye maandishi? Unapata viashiria kuwa bado na kampuni shtakiwa kuna kitu walikubaliana behind the door.
Na kwa nini wakubali kumlipa miliion 3?

Kwa nini point yako dhaifu ,point ya 4
Akasema
" kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, "
Kwa nini wambembeleza kushusha kiwango cha ushindi kwenye ushindi unaoutilia mashaka?

Point ya 5
Akasema
"Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano."
Mpaka bodi (TGB) wanafikia stage hii wao kwamba muda wote huo hawakuona viashiria unavyodai wewe vya upangaji wa matokeo na kufuta shauri?

Inshort HOJA ZAKO ZINA MADHAIFU MENGI SANA em tubishane kwa hoja
Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo,"

Kampuni ikisimamisha mkeka huwa haitoi taarifa na hilo limeelezwa kwenye vigezo,na masharti
Kwahiyo mpaka hapo umeandika nonsense!
Pili kuhusu mkeka kufutwa hiyo sio kweli kwasababu aliweza kupiga hadi screenshot mkeka.

Kama kampuni imeshindwa kumlipa isingerudisha dau lake la 900 badala yake ingeonesha ameshinda kiwango husika lakini hajalipwa , Kwahiyo hiyo ni nonsense nyingine uliyoandika ,, kinachofanya urudishiwe dau lako ni mambo matatu 1. Ume cashout mwenyewe. 2. Fixed game, 3. System error hapa unarejeshewa kiasi ulichoweka ( na ndipo msingi wa hoja yangu unapoanzia) kwahiyo hata akienda mahakamani hawezi kusema nilishinda kiasi fulani halafu sikulipwa mana hakuna ushahidi wa ushindi na akilipwa haya serikali itapata kodi yake. Hoja yake ni mkeka sahihi kutopewa ushindi nasio kushinda kiasi fulani na kutolipwa ,, jambo jingine nivigumu kuwa na makubaliano kati ya wewe na kampuni bila maandishi labda iwe hayo makubaliano huyo mwakilishi wa kampuni aliyafanya kibinafsi na sio kwa niaba ya kampuni. Kwa bahati mbaya mleta mada hajaweka kiambatanisho hata kimpja kutoka Gaminh board hata email hajaweka kwahiyo siwezi kulisemea sana kuwa ni kweli ama la
 
Mi ndo sitaki kabisa kusikia mambo ya jackpot, maana hiyo pesa wanayotangazwa nayo washindi hupati yote.

Kuna jamaa naemjua alishinda jackpot ya sportpesa million 200+ walienda kumuweka hotel serena for 5 days wana bargain nae tu, mwisho wakafikia compromise jamaa hakusema exactly walimpa kiasi gani ila alikubali kufanya tangazo la hundi ya milion 200+, in return wakampa gari yenye thamani ya milion 30 na undisclosed amount of money..

Kiufupi hajafanya lolote la maana mpka sasa mana maisha yake ni yale yale tunayoyajua ila still gari anayo.
Inakatisha tamaa kumbe ukishinda mamilioni hupati ulichoshinda zaidi ya vilaki laki..
 
Unachosema ni sahihi, sasa kwa nini wamsumbue? Kama 27m imekuwa tatizo je ikitokea mtu akashinda 100m itakuwaje?
Hata 10,000 hawakupaswa kumsumbua. Ndiposa tunashauri afungue shauri la kutaka kujua kwanini dau lake lilirudishwa na sio kupewa ushindi wa milion 27 anayodai. Kwakuwa alibashiri kwa usahihi lakini mkeka wake hakuwekewa Win na dau lilirudishwa ,, kwahiyo pigabet nilazima watoe sababu za kurudisha dau nakwanini jawakumpa ushindi kama sababu hazina mashiko nilazima wachukue dau lao la 9000 na kumtunuku ushindi pamoja na malipo na serikali ipate kodi yake
 
Halafu mbona iko wazi kampuni uchwara zinajulikana
Ndiyo maana ukiuliza watu wanaobeti kuhusu kampuni zinazoaminika huwezi kukuta kuna mtu hata mmoja kataja hiyo kampuni yako uchwara .
Watakutajia
1. BetPawa
2. Betway
3. Sportybet
4. Sportpesa
5. Premierbet
Exactly. Betpawa nilishinda 9.7m nilitoa 9m usiku huo huo voda Wala hakuna maswali! 700k wakaiwasha.
 
Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo,"

Kampuni ikisimamisha mkeka huwa haitoi taarifa na hilo limeelezwa kwenye vigezo,na masharti
Kwahiyo mpaka hapo umeandika nonsense!
Pili kuhusu mkeka kufutwa hiyo sio kweli kwasababu aliweza kupiga hadi screenshot mkeka.

Kama kampuni imeshindwa kumlipa isingerudisha dau lake la 900 badala yake ingeonesha ameshinda kiwango husika lakini hajalipwa , Kwahiyo hiyo ni nonsense nyingine uliyoandika ,, kinachofanya urudishiwe dau lako ni mambo matatu 1. Ume cashout mwenyewe. 2. Fixed game, 3. System error hapa unarejeshewa kiasi ulichoweka ( na ndipo msingi wa hoja yangu unapoanzia) kwahiyo hata akienda mahakamani hawezi kusema nilishinda kiasi fulani halafu sikulipwa mana hakuna ushahidi wa ushindi na akilipwa haya serikali itapata kodi yake. Hoja yake ni mkeka sahihi kutopewa ushindi nasio kushinda kiasi fulani na kutolipwa ,, jambo jingine nivigumu kuwa na makubaliano kati ya wewe na kampuni bila maandishi labda iwe hayo makubaliano huyo mwakilishi wa kampuni aliyafanya kibinafsi na sio kwa niaba ya kampuni. Kwa bahati mbaya mleta mada hajaweka kiambatanisho hata kimpja kutoka Gaminh board hata email hajaweka kwahiyo siwezi kulisemea sana kuwa ni kweli ama la
Sasa kwani mwakilishi wa kampuni alikuwa anamuwakilisha nani? 😂 Em kubwa serious basi mkuu
 
Umejibu hoja mbili mie nimeuliza 5 , halafu mbona unakwepa sana jibu la kwa nini wanamuomba wamlipe milion 3 mbona haujibu 🙌
 
Una uhakika gani? Je kama aliscreenhot mapema kama ushahidi wa lolote linaloweza kutokea? Halafu kumbe hujaelewa mtoa mada anazungumzia kufutwa kwa mkeka baada ya kushinda na sio wakati game zikiendelea
 
Umejibu hoja mbili mie nimeuliza 5 , halafu mbona unakwepa sana jibu la kwa nini wanamuomba wamlipe milion 3 mbona haujibu 🙌
Hilo suala la kuombwa analijua yeye na waliyekubaliana naye kwasababu kama ni rushwa nikinyume na utaratibu na serikali itakosa mapato yanayozidi milion 3 labda waseme sababu ni kuwa either kuna fraud ambayo ipo nje ya mleta mada hivyo hiyo milion 3 ni kifuta jasho ambapo kimsingi hapaswi kuepewa maana mkeka wake haujapewa ushindi. Lakini hoja yakuwa kampuni imeona hiyo milion 27.7 kuwa ni nyingi na kuwa wamlipe milion 3 sio sababu sahihi wanatakiwa kumlipa kwa lazima
 
kwahiyo hata akienda mahakamani hawezi kusema nilishinda kiasi fulani halafu sikulipwa mana hakuna ushahidi wa ushindi na akilipwa haya
Eti hana ushahidi kwa hiyo hizo screenshot amezitolea wapi?
Unadhani hao bodi wangethubutu hata kumsikiliza kama hana ushahidi?😂🙌
Utetezi wako dhaifu sana bro acha kutetea dhurma
 
Back
Top Bottom